LUGOLA AAGIZA POLISI KUWAKAMATA WALIOFANYA UFISADI SEKTA YA MICHEZO

LUGOLA AAGIZA POLISI KUWAKAMATA WALIOFANYA UFISADI SEKTA YA MICHEZO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LUGOLA AAGIZA POLISI KUWAKAMATA WALIOFANYA UFISADI SEKTA YA MICHEZO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LUGOLA AAGIZA POLISI KUWAKAMATA WALIOFANYA UFISADI SEKTA YA MICHEZO
kiungo : LUGOLA AAGIZA POLISI KUWAKAMATA WALIOFANYA UFISADI SEKTA YA MICHEZO

soma pia


LUGOLA AAGIZA POLISI KUWAKAMATA WALIOFANYA UFISADI SEKTA YA MICHEZO


Na Felix Mwagara, MOHA

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amemtaka Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Bunda kuwakamata watu walioshiriki kuwatapeli wananchi katika Sekta ya michezo wilayani humo, Mkoa wa Mara.

Watu hao ambao walitangaza kuanzisha ligi wilayani humo na kuzitaka timu za mpira wa miguu kata mbalimbali zichangie fedha na baadaye ligi hiyo haikufanyika na watu hao walikimbia na fedha hizo na kufanya wananchi hao waandamane wakitaka fedha zao zirudishwe.

Waziri Lugola akizungumza na mamia ya wananchi wa Mji wa Bunda baada ya kulizindua Bonanza la Amani wilayani humo, alisema kitendo walichokifanya watu hao ni ufiadi mkubwa hivyo lazima wakamatwe ili iwe funzo kwa wale wote wenye tabia ya kufanya ufisadi wa aina hiyo katika sekta ya michezo nchini.

“Nimeambiwa wanamichezo ambao walichangishwa waliandamana mpaka kwa Mkuu wa Wilaya kuelezea jinsi walivyoibiwa na watu hao, hata hivyo Mkuu wa Wilaya alitangaa watu hao warudishe fedha hizo, ila mimi nahitaji hawa watu wakamatwe haraka iwezekanavyo, huu ni ufisadi mkubwa na hakika Serikali hii ya awamu ya nne haitakubaliana na ufisadi huo.

Aliongeza kua, mahakama ya ufisadi inahitaji wateja hivyo waliofanya wizi huo pia ni mafisadi hivyo lazima wakamatwe haraka iwezekanavyo ili sheria ichukue mkondo wake. Aidha, Bonanza ambalo alilizindua waziri huyo, linatarajiwa kufanyika nchini nzima limezinduliwa mjini humo na baadaye litafanyika nchi nzima likiwa na lengo kuu kutangaza amani nchini.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>>


Hivyo makala LUGOLA AAGIZA POLISI KUWAKAMATA WALIOFANYA UFISADI SEKTA YA MICHEZO

yaani makala yote LUGOLA AAGIZA POLISI KUWAKAMATA WALIOFANYA UFISADI SEKTA YA MICHEZO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LUGOLA AAGIZA POLISI KUWAKAMATA WALIOFANYA UFISADI SEKTA YA MICHEZO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/lugola-aagiza-polisi-kuwakamata.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "LUGOLA AAGIZA POLISI KUWAKAMATA WALIOFANYA UFISADI SEKTA YA MICHEZO"

Post a Comment