title : Wafanyakazi Muhimbili Wapatiwa Mafunzo ya Huduma kwa Wateja
kiungo : Wafanyakazi Muhimbili Wapatiwa Mafunzo ya Huduma kwa Wateja
Wafanyakazi Muhimbili Wapatiwa Mafunzo ya Huduma kwa Wateja
Kaimu Mkurugenzi Mkuu Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Makwaia Makani akifungua mafunzo ya Huduma Kwa Wateja yaliofanyika katika hospitali hiyo jana. Kushoto ni mtoa mada, Elizabeth Fupe na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano katika Hospitali hiyo, Neema Mwangomo. Wafanyakazi wametakiwa kutumia lugha nzuri wakati wa kuwasiliana na wagonjwa pamoja na ndugu zao ili kurahisisha utuoaji wa huduma za matibabu.
Baadhi ya wafanyakazi wakifuatilia mafunzo hayo yaliofanyika katika hospitali hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wakifuatilia mafunzo hayo yaliofanyika katika hospitali hiyo.
Wafanyakazi hao wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupatiwa mafunzo hayo.
Hivyo makala Wafanyakazi Muhimbili Wapatiwa Mafunzo ya Huduma kwa Wateja
yaani makala yote Wafanyakazi Muhimbili Wapatiwa Mafunzo ya Huduma kwa Wateja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wafanyakazi Muhimbili Wapatiwa Mafunzo ya Huduma kwa Wateja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/wafanyakazi-muhimbili-wapatiwa-mafunzo.html
0 Response to "Wafanyakazi Muhimbili Wapatiwa Mafunzo ya Huduma kwa Wateja"
Post a Comment