UKIKUTWA UNAOSHA GARI ILALA FAINI SH 200,000/=

UKIKUTWA UNAOSHA GARI ILALA FAINI SH 200,000/= - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UKIKUTWA UNAOSHA GARI ILALA FAINI SH 200,000/=, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UKIKUTWA UNAOSHA GARI ILALA FAINI SH 200,000/=
kiungo : UKIKUTWA UNAOSHA GARI ILALA FAINI SH 200,000/=

soma pia


UKIKUTWA UNAOSHA GARI ILALA FAINI SH 200,000/=



Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam imesema kila kijana atakayekutwa anaosha magari pembezoni mwa barabara za manispaa hiyo atapigwa faini ya shilingi laki mbili papo hapo huku mmiliki wa gari husika nae akitozwa faini kama hiyo.

Aidha Mkurugenzi wa mazingira amesema licha ya kupigwa faini kwa watu hao lakini bado watafikishwa mahakamani kwa hatua zaidi za kisheria.

Mkuruegenzi wa mazingira na udhibiti wa taka katika manispaa ya Ilala Bw. Abdon Mapunda amesema kumezuka tabia kwa baadhi ya vijana kugeuza maeneo mbali mbali ya manispaa hiyo kuwa maeneo ya kuosha magari huku maji wanayotumia yakitiririka barabarani na kusababisha kutuama jambo ambalo ni uchafuzi wa mazingira.

Amesema tangu kuanza kwa zoezi hilo mwezi Juni mwaka huu wameshafanikiwa kukamata vijana hao pamoja na wamiliki wa magari wasiopungua 50 na kuwapiga faini pamoja na kuwafikisha mahakamani.


Hivyo makala UKIKUTWA UNAOSHA GARI ILALA FAINI SH 200,000/=

yaani makala yote UKIKUTWA UNAOSHA GARI ILALA FAINI SH 200,000/= Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UKIKUTWA UNAOSHA GARI ILALA FAINI SH 200,000/= mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ukikutwa-unaosha-gari-ilala-faini-sh.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UKIKUTWA UNAOSHA GARI ILALA FAINI SH 200,000/="

Post a Comment