title : MAADHIMISHO YA 15 YA SIKU YA WAZAZI BWAWANI SEKONDARI YAFANA MKOANI PWANI
kiungo : MAADHIMISHO YA 15 YA SIKU YA WAZAZI BWAWANI SEKONDARI YAFANA MKOANI PWANI
MAADHIMISHO YA 15 YA SIKU YA WAZAZI BWAWANI SEKONDARI YAFANA MKOANI PWANI
Mkuu wa Jeshi la Magereza, CGP - Phaustine Kasike akisoma ubao mara baada ya kuweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa nyumba ya walimu wa Shule ya Sekondari Bwawani leo Siku ya wazazi, Agosti 16, 2018 Mkoani Pwani.
Mkuu wa Jeshi la Magereza, CGP - Phaustine Kasike akitoa hotuba fupi mbele ya wazazi na wanafunzi wa Bwawani Sekondari katika Maadhimisho ya Kumi na tano ya Siku ya wazazi ya Shule hiyo leo Agosti 16, 2018 Mkoani Pwani.
Wanafunzi wa Bwawani wakitoa burudani ya Wimbo Maalum wa Shule hiyo kama inavyoonekana katika picha.
Meza Kuu wakiimba wimbo wa Shule ya Sekondari Bwawani kama wanavyoonekana katika picha(katikati) ni Mkuu wa Jeshi la Magereza, CGP - Phaustine Kasike(kulia) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shule hiyo ambaye ni Kamishna wa Magereza,Gaston Sanga(kushoto).
Hivyo makala MAADHIMISHO YA 15 YA SIKU YA WAZAZI BWAWANI SEKONDARI YAFANA MKOANI PWANI
yaani makala yote MAADHIMISHO YA 15 YA SIKU YA WAZAZI BWAWANI SEKONDARI YAFANA MKOANI PWANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAADHIMISHO YA 15 YA SIKU YA WAZAZI BWAWANI SEKONDARI YAFANA MKOANI PWANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/maadhimisho-ya-15-ya-siku-ya-wazazi.html
0 Response to "MAADHIMISHO YA 15 YA SIKU YA WAZAZI BWAWANI SEKONDARI YAFANA MKOANI PWANI"
Post a Comment