Jeshi la Polisi Kisiwani Pemba Lamshikilia Kijana Kwa Tuhuma za Biashara ya Dawa za Kulevya.

Jeshi la Polisi Kisiwani Pemba Lamshikilia Kijana Kwa Tuhuma za Biashara ya Dawa za Kulevya. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jeshi la Polisi Kisiwani Pemba Lamshikilia Kijana Kwa Tuhuma za Biashara ya Dawa za Kulevya., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jeshi la Polisi Kisiwani Pemba Lamshikilia Kijana Kwa Tuhuma za Biashara ya Dawa za Kulevya.
kiungo : Jeshi la Polisi Kisiwani Pemba Lamshikilia Kijana Kwa Tuhuma za Biashara ya Dawa za Kulevya.

soma pia


Jeshi la Polisi Kisiwani Pemba Lamshikilia Kijana Kwa Tuhuma za Biashara ya Dawa za Kulevya.

Na Masanja Mabula - Pemba
Katika mwendelezo wa operasheni wa utokomezaji wa madawa ya kulevya wa Jeshi la Polisi nchini hatimae Jeshi hilo mkoa wa Kusini Pemba jana limefanikiwa kumkamata  kijana mwengine akiwa na jumla ya kete 241 zinazosadhaniwa kua ni madawa ya kulevya.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi kamanda wa polisi mkoa wa kusini Pemba  Shekhan Mohammed Shekhan amemtaja kijana waliyemkamata kuwa ni Haji Balozi Hassan (35) ambae alikuwa kwenye gari ya abiria akitokea  mkoani kuelekea micheweni.

Alisema katika gari hiyo askari walimtilia mashaka abiria huyo ndipo walipoamua kumpekua na kufanikiwa kumkamata na madawa hayo aliyokua nayo katika mifuko yake ya suruali.

" Mpaka hivi sasa yupo chini ya ulinzi wa jeshi la polisi na leo tutampeleka mahakamani kusomewa kosa lake" alisema Kamanda Shehan

Kamanda Shehan ametoa wito kwa wananchi kushirikiana na jeshi la polisi ili kufanikisha kutokomeza madawa ya kulevya yanayoonekana kuwa ni tatizo katika jamii.

Tukio la kukamatwa Hassan  ni tukio mfululizo wa watuhumiwa wa madawa hayo kukamatwa kisiwani Pemba  ambapo juzi Jeshi hilo lilifanikiwa kumtia mikononi mwanamke mmoja mkaazi wa Wete akiwa na kete 3621 zinazodhaniwa kuwa ni madawa ya kulevya katika maeneo ya mbuguani Mkoani.


Hivyo makala Jeshi la Polisi Kisiwani Pemba Lamshikilia Kijana Kwa Tuhuma za Biashara ya Dawa za Kulevya.

yaani makala yote Jeshi la Polisi Kisiwani Pemba Lamshikilia Kijana Kwa Tuhuma za Biashara ya Dawa za Kulevya. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jeshi la Polisi Kisiwani Pemba Lamshikilia Kijana Kwa Tuhuma za Biashara ya Dawa za Kulevya. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/jeshi-la-polisi-kisiwani-pemba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Jeshi la Polisi Kisiwani Pemba Lamshikilia Kijana Kwa Tuhuma za Biashara ya Dawa za Kulevya."

Post a Comment