title : ZIARA YA DC MJEMA YAENDELEA KUGUSA MAENEO YENYEKERO ZA WANANCHI ILALA
kiungo : ZIARA YA DC MJEMA YAENDELEA KUGUSA MAENEO YENYEKERO ZA WANANCHI ILALA
ZIARA YA DC MJEMA YAENDELEA KUGUSA MAENEO YENYEKERO ZA WANANCHI ILALA
Na John Luhende
Mwambawahabari
Mkuu wa wilya ya Ilala Sophia MJEMA, akiwa katika ziara yake ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi ameahidi kutoa mifuko 15 ya Cement kwaajili ya kumalizia ujenzi wa Kituocha polisi cha Majohe ambapo ujenzi huo ulikwama kwa muda mrefu.
Aidha DC Mjema ame ameutaka uongozi wa kata hiyo kuwasilisha mahitaji yote ya kituohicho ili ofisi yake iweze kufanyia kazi kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa kituohicho.
Kwa upande wake diwani wa katakana ya Majohe Waziri Mwenevyale, ameahidi kujenga kench za jengohilo, na kumuomba DC Mjema kulitiliamkazo jambohilo ilikupunguza uhalifu katika eneo hilo.
Katika hatua nyingine DC Mjema ametembelea shule ya msingi Majohe na kutatua mradibwamaji ambao wanafunzi wa shule hiyo wamepatanafasi ya kutoa kero zao wakiomba maji yaweyanapatikakanakilawakati ili yaweze kuwasaidia kwa matumizi ya Choo, na ameahidi kujenga vyoo Vinne kwaajili ya watoto wakike wasiache masomo wakiwa hedhi.
"Nimesikia kero zenu wanafunzi ntawajengea vyoo Vinne Tena mwalimu ujenzi mchukua na tiles vyoo hiyo vijengwe vizuri na Vitae kwa taulo za kike na ni yake watoto wasikatishe masomo, nyie wasichana jifunzeni kusema no aside mtu akakurubuni ukaacha masomo, nanyie wavulana minute bangi "amesema .
DC Mjema yuko katika ziara kutembelea wilayahiyo kutatua kero Zinazo wakabiliwananchi, Leo anatembelea katata za Majohe na buyuni.
Hivyo makala ZIARA YA DC MJEMA YAENDELEA KUGUSA MAENEO YENYEKERO ZA WANANCHI ILALA
yaani makala yote ZIARA YA DC MJEMA YAENDELEA KUGUSA MAENEO YENYEKERO ZA WANANCHI ILALA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA DC MJEMA YAENDELEA KUGUSA MAENEO YENYEKERO ZA WANANCHI ILALA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/ziara-ya-dc-mjema-yaendelea-kugusa.html
0 Response to "ZIARA YA DC MJEMA YAENDELEA KUGUSA MAENEO YENYEKERO ZA WANANCHI ILALA"
Post a Comment