DC MURO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA

DC MURO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MURO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MURO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA
kiungo : DC MURO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA

soma pia


DC MURO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA

 Mwambawahabari
Mkuu wa wilaya ya Arumeru  Mh.Jerry Muro  amefanya ziara ya kushtukiza  katika baranara ya mchepuko  Arusha Bypass katika eneo la  muungano Makumira  na kubaini uwepo wavitendo vinavyoashiria ukiukwaji wa taratibu za kazi na haswa katika kazi zinazofanywa na  RAIA  kutoka nje.

 Mhe.  Muro  Pamoja nakuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa barabara hiyo itakayosaidaia kupunguza msongamao wa magari kuelekea  Jijini Arusha ameonyeshwa kukerwa na tabia ya baadhi ya wageni kufanya kazi zinazoweza kufanywa na watanzania  jambo linaloendela kuminya fursa ya vijana wa kitanzaia kupata ajira.
 Kutoka na sababu hiyo  Dc Muro alilazimika kuchukua hatua  ya kuwaagiza maofisa wa Uhamiaji  kufuatilia suala hilo jambo lililopelekea kubainika uwepo wa  RAIA Tisha  ( 9 ) wa kigeni wanaofanya kazi hizo pasipo kuwepo na baadhi ya vibali husika vya kufanya kazi.

Katika ziara hiyo  Dc Muro  aliambatana na Naibu katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhandisi Steven Mlote  ambao ni waratibu wa ujenzi wa Barabara hiyo.

Dc Muro  anaendelea na zoezi la ukaguzi wa miradi mbalimbali ya ujenzi katikaa wilaya ya Arumeru yenye kata 53 na Halmashauri mbili za Arusha Dc na Meru Dc.

Imetolewa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Meru




Hivyo makala DC MURO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA

yaani makala yote DC MURO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MURO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/dc-muro-afanya-ziara-ya-kushtukiza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MURO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA"

Post a Comment