Marafiki wasio wa kawaida kwenye makao ya wanyama Beijing

Marafiki wasio wa kawaida kwenye makao ya wanyama Beijing - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Marafiki wasio wa kawaida kwenye makao ya wanyama Beijing, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Marafiki wasio wa kawaida kwenye makao ya wanyama Beijing
kiungo : Marafiki wasio wa kawaida kwenye makao ya wanyama Beijing

soma pia


Marafiki wasio wa kawaida kwenye makao ya wanyama Beijing

Marafiki wasio wa kawaida kwenye makao ya kuwatunza wanyama Beijing -Mtoto wa mbwa na wa chui milia.
Picha za watoto wa wanyama wakicheza pamoja kwenye makao ya wanyamapori mjini Beijing zimefurahisha wengi mitandaoni.
Picha hizo zilizipigwa Alhamisi zinoanyesha watoto wa mbwa wakicheza pamoja na wale wa simba na wa chui milia.
Wote hao walinyonyeshwa na mbwa baada ya watoto 8 wakiwemo wa chui milia, fisi na simba kutelekezwa na mama zao.
Wamekua pamojana sasa wao ni marafiki wakubwa.
Picha hizo zimesambazwa sana kwenye mtandao wa twitter.
Marafiki wasio wa kawaida kwenye makao ya kuwatunza wanyama Beijing.
Mto wa simba na wa chui milia marafiki wakiwa katika mchezo wao bila ya kujali tafauti zao na kuwa marafiki katika makamo ya wanyama yalioko nchini Beijing.
Wageni wakiwapiga picha ya wanyama hao walio na urafiki katika sehemu hiyo ya maonesho ya wanyama.
Watato wa mbwa na wa chui milia


Hivyo makala Marafiki wasio wa kawaida kwenye makao ya wanyama Beijing

yaani makala yote Marafiki wasio wa kawaida kwenye makao ya wanyama Beijing Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Marafiki wasio wa kawaida kwenye makao ya wanyama Beijing mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/marafiki-wasio-wa-kawaida-kwenye-makao.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Marafiki wasio wa kawaida kwenye makao ya wanyama Beijing"

Post a Comment