BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA GARI KWA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA GARI KWA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA GARI KWA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAMkiungo :
BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA GARI KWA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM
BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA GARI KWA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, akikata utepe wakati wa hafla ya kupokea msaada wa gari lililotolewa na Benki ya CRDB kwa Jeshi la Polisi. Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei na kulia ni Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa CRDB, Tully Mwambapa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akimkabidhi Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, msaada wa gari kwa Jeshi la Polisi. Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, akipeana mkono na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA GARI KWA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM
yaani makala yote BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA GARI KWA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA GARI KWA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/benki-ya-crdb-yatoa-msaada-wa-gari-kwa.html
0 Response to "BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA GARI KWA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM"
Post a Comment