RC MAHENGE AFANYA ZIARA WILAYA YA KONDOA

RC MAHENGE AFANYA ZIARA WILAYA YA KONDOA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAHENGE AFANYA ZIARA WILAYA YA KONDOA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAHENGE AFANYA ZIARA WILAYA YA KONDOA
kiungo : RC MAHENGE AFANYA ZIARA WILAYA YA KONDOA

soma pia


RC MAHENGE AFANYA ZIARA WILAYA YA KONDOA

Waziri Mkuu Mstaafu, John Samwel Malecela (mwenye kofia ya njano) akimuonesha Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge mizabibu iliyopandwa kwenye shamba la Chinangali II Wilayani Chamwino wakati wa Ziara ya Dkt. Mahenge Wilayani humo.
 Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge na ujumbe alioambatana nao wakipata maelezo juu ya mashine ya kusukumia maji kwa ajili ya umwagiliaji wa matone kwenye shamba la zabibu la Chinangali II Wilayani Chamwino wakati wa Ziara ya Dkt. Mahenge Wilayani humo.
 Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge na ujumbe alioambatana nao wakikagua bwawa la kutunzia maji kwa ajili ya umwagiliaji wa matone kwenye shamba la zabibu la Chinangali II Wilayani Chamwino wakati wa Ziara ya Dkt. Mahenge Wilayani humo.
 Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge akikagua nyaraka na kusikiliza kero za wananchi kwenye mkutano wa hadhara Kijiji cha Manzase  Wilayani Chamwino wakati wa ziara yake.

BOFYA HAPA HAPA KWA PICHA ZAIDI


Hivyo makala RC MAHENGE AFANYA ZIARA WILAYA YA KONDOA

yaani makala yote RC MAHENGE AFANYA ZIARA WILAYA YA KONDOA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAHENGE AFANYA ZIARA WILAYA YA KONDOA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/rc-mahenge-afanya-ziara-wilaya-ya-kondoa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RC MAHENGE AFANYA ZIARA WILAYA YA KONDOA"

Post a Comment