Mkutano wa 38 wa SADC wamalizika wamalizika mjini Windhoek, Namibia

Mkutano wa 38 wa SADC wamalizika wamalizika mjini Windhoek, Namibia - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkutano wa 38 wa SADC wamalizika wamalizika mjini Windhoek, Namibia, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkutano wa 38 wa SADC wamalizika wamalizika mjini Windhoek, Namibia
kiungo : Mkutano wa 38 wa SADC wamalizika wamalizika mjini Windhoek, Namibia

soma pia


Mkutano wa 38 wa SADC wamalizika wamalizika mjini Windhoek, Namibia

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye siku ya mwisho ya mkutano wa 38 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliomalizika leo mjini Windhoek Namibia ambapo Tanzania imechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi cha Agosti 2018 hadi Agosti 2019. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini moja kati ya nyaraka nne za kisheria ambazo  ni Tamko la Kutokomeza Malaria katika ukanda wa SADC, Itifaki ya Kulinda Hakimiliki ya Wagunduzi wa aina mpya za Mbegu za mimea katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, itifaki ya ajira na kazi pamoja na Maboresho ya Katiba inayosimamia masuala ya kamati Ndogo ya Wakuu wa Polisi katika Organ. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala Mkutano wa 38 wa SADC wamalizika wamalizika mjini Windhoek, Namibia

yaani makala yote Mkutano wa 38 wa SADC wamalizika wamalizika mjini Windhoek, Namibia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano wa 38 wa SADC wamalizika wamalizika mjini Windhoek, Namibia mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mkutano-wa-38-wa-sadc-wamalizika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkutano wa 38 wa SADC wamalizika wamalizika mjini Windhoek, Namibia"

Post a Comment