title : Waziri Mwakyembe afanya ziara ya kukagua Miundombinu ya Viwanja vya Michezo Mkoani Manyara
kiungo : Waziri Mwakyembe afanya ziara ya kukagua Miundombinu ya Viwanja vya Michezo Mkoani Manyara
Waziri Mwakyembe afanya ziara ya kukagua Miundombinu ya Viwanja vya Michezo Mkoani Manyara
.
Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (mwenye miwani) akimsikiliza Mwalimu wa Michezo wa Shule ya Sekondari ya Singe (Mwenye koti la kijivu) Bw. Amos Sungi alipotembelea viwanja vya michezo vilivyopo katika shule hiyo leo Mkoani Manyara.
Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa tatu kushoto) akikagua kiwanja cha mpira wa miguu kilichopo katika shule ya Sekondari ya Singe alipokuwa katika ziara ya kukagua viwanja vya michezo leo katika Mkoa wa Manyara.
Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiongea na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Singe (hawapo katika picha) alipofanya ziara ya kuwatembelea miundo mbinu ya viwanja katika shule hiyo leo Mkoani Manyara.
Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akionyeshwa ramani ya kiwanja cha mpira na Mpima Ardhi wa Halmashauri wa Mji wa Manyara Bw. Iddi Lulamia wakati wa ziara ya kukagua miundo mbinu ya michezo katika Mkoa wa Manyara.
Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Waalimu wa Michezo kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania, leo Mkoani Manyara.
Hivyo makala Waziri Mwakyembe afanya ziara ya kukagua Miundombinu ya Viwanja vya Michezo Mkoani Manyara
yaani makala yote Waziri Mwakyembe afanya ziara ya kukagua Miundombinu ya Viwanja vya Michezo Mkoani Manyara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mwakyembe afanya ziara ya kukagua Miundombinu ya Viwanja vya Michezo Mkoani Manyara mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/waziri-mwakyembe-afanya-ziara-ya.html
0 Response to "Waziri Mwakyembe afanya ziara ya kukagua Miundombinu ya Viwanja vya Michezo Mkoani Manyara"
Post a Comment