title : WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI KIGOMA KUANZA ZIARA YA KAZI MKOANI HUMO.
kiungo : WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI KIGOMA KUANZA ZIARA YA KAZI MKOANI HUMO.
WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI KIGOMA KUANZA ZIARA YA KAZI MKOANI HUMO.
Mwambawahabari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kuanza ziara ya kazi mkoani humo Julai 28, 2018. Kulia ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kuanza ziara ya kazi mkoani humo Julai 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zito Kabwe wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kuanza ziara ya kazi mkoani humo Julai 28, 2018. Wapili kulia ni mkewe Mary na watatu kulia ni Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga. Wapili kushoto ni Mbunge wa Kigoma Kusini, Hasna Mwilima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya asili ya wananwake wa Kigoma wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kuanza ziara ya kazi mkoani humo Julai 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI KIGOMA KUANZA ZIARA YA KAZI MKOANI HUMO.
yaani makala yote WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI KIGOMA KUANZA ZIARA YA KAZI MKOANI HUMO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI KIGOMA KUANZA ZIARA YA KAZI MKOANI HUMO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/waziri-mkuu-awasili-mkoani-kigoma.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI KIGOMA KUANZA ZIARA YA KAZI MKOANI HUMO."
Post a Comment