title : BENKI YA CRDB YATANUA MTANDAO WA MATAWI YAKE
kiungo : BENKI YA CRDB YATANUA MTANDAO WA MATAWI YAKE
BENKI YA CRDB YATANUA MTANDAO WA MATAWI YAKE
Muonekano wa jengo jipya la Benki ya CRDB tawi la Mlandizi mkoani Pwani.
Baadhi ya wateja wa benki ya CRDB tawi la Mlandizi wakipata huduma za kifedha katika tawi hilo.
Meneja wa Tawi jipya la Benki ya CRDB la Mlandizi mkoani Pwani, Twahibu Likungwala (kushoto), akitoa maelezo kwa mteja wa benki hiyo aliyefika tawini hapo jana namna anavyoweza kunufaika na akaunti maalum ya Wanawake (Malkia Akaunti).
Ufafanuzi kuhusu huduma za Kifedha katika Tawi la Mlandizi.
Mteja wa Benki ya CRDB akipata ufafanuzi wa huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo kutoka kwa Meneja wa Tawi jipya la Benki ya CRDB la Mlandizi mkoani Pwani, Twahibu Likungwalakwa (kulia).
Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Cassian Nombo (katikati), akimuhudumia mmoja wa wateja waliofika katika tawi la Benki ya CRDB la Mlandizi mkoani Pwani kupata huduma za kifedha.
Hivyo makala BENKI YA CRDB YATANUA MTANDAO WA MATAWI YAKE
yaani makala yote BENKI YA CRDB YATANUA MTANDAO WA MATAWI YAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB YATANUA MTANDAO WA MATAWI YAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/benki-ya-crdb-yatanua-mtandao-wa-matawi.html
0 Response to "BENKI YA CRDB YATANUA MTANDAO WA MATAWI YAKE"
Post a Comment