title : RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA COMORO
kiungo : RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA COMORO
RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA COMORO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Visiwa vya Comoro katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohammed Fakih Al Baadawy alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Visiwa vya Comoro katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mohammed Fakih Al Baadawy alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na mgeni wake Balozi wa Visiwa vya Comoro katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mohammed Fakih Al Baadawy baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,(Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA COMORO
yaani makala yote RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA COMORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA COMORO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/rais-dkshein-akutana-na-balozi-wa-comoro.html
0 Response to "RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA COMORO"
Post a Comment