TRC WAENDELEA KUTOA ELIMU VIJIJINI KUHUSU MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA-SGR PAMOJA NA MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI DAR- ISAKA,

TRC WAENDELEA KUTOA ELIMU VIJIJINI KUHUSU MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA-SGR PAMOJA NA MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI DAR- ISAKA, - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TRC WAENDELEA KUTOA ELIMU VIJIJINI KUHUSU MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA-SGR PAMOJA NA MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI DAR- ISAKA,, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TRC WAENDELEA KUTOA ELIMU VIJIJINI KUHUSU MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA-SGR PAMOJA NA MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI DAR- ISAKA,
kiungo : TRC WAENDELEA KUTOA ELIMU VIJIJINI KUHUSU MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA-SGR PAMOJA NA MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI DAR- ISAKA,

soma pia


TRC WAENDELEA KUTOA ELIMU VIJIJINI KUHUSU MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA-SGR PAMOJA NA MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI DAR- ISAKA,

Uongozi wa shirika la reli Tanzania - TRC kwa kutumia timu ya mawasiliano wamedhamiria kuwashirikisha watanzania kwa kufanya kampeni ya uhamasishaji ili kufahamu hatua za miradi pamoja na kutoa elimu kuhusu miradi inayosimamiwa na kuratibiwa na shirika la reli Tanzania, miradi hiyo ni uboreshaji wa reli ya kati Dar- Isaka pamoja na mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR ili kuwapatia uelewa na kuwakumbusha wananchi kuwa miradi hiyo ni mali ya umma na kila mtanzania ana haki ya kuilinda na kuithamini, ili kuwezesha miradi kufanikiwa.
Lengo la uboreshaji wa reli ya kati pamoja na ujenzi wa reli ya kisasa -SGR ni kutoa huduma ya usafiri wa kuaminika na kukuza upatikanaji wa huduma bora nchini. Ujenzi wa reli ya kisasa pamoja na maboresho ya reli ya kati yatasaidia kuinua uwezo wa kubeba mizigo kwa reli zote, kuongezeka kwa mwendo, kuokoa muda wa safari kwa kipindi kirefu na kupelekea kukua zaidi kiuchumi, kuanzia ngazi za familia mpaka maendeleo ya nchi kwa ujumla.

Katika kufikia malengo, timu ya mawasiliano TRC mpaka sasa imefanya kampeni ya uhamasishaji kwa kutoa elimu mwezi Julai 2018 kwa kutembelea wilaya ya kilosa na vijiji vyake ambavyo ni Mkadage, Munisagara, Mzaganza , Kikundi ,Mwasa na Kidete. Kampeni ya uhamamsishaji juu ya miradi ya shirika la reli yaani mradi wa uboreshaji wa reli ya kati pamoja na ujenzi wa reli ya kisasa-SGR itaendelea katika mikoa ya Dodoma,Singida,Tabora na Shinyanga.
Tangu kampeni ya uhamasishaji wa uelewa kuhusu miradi ianze wanananchi wamepata fursa ya kujua faida za miradi wakati wa ujenzi ambazo ni kuwepo kwa fursa za ajira, kukua kwa kipato cha wananchi maeneo ya miradi na kujengewa ujuzi kwa wote watakaoshiriki kwenye shughuli za ujenzi.
 Mtaalamu wa masuala ya kijamii kutoka Shirika la Reli Tanzania -TRC Bi Catherine Mroso  akitoa elimu kuhusu faida, Changamoto na mambo ya kuzingatia kuhusu miradi inayoratibiwa na kusimamiwa na TRC kwa wanakijiji wa Kikundi katika wilaya ya Kilosa  mkoani Morogoro,mwezi Julia 2018.
 Mhandisi kutoka Shirika la reli Tanzania Bwana Christopher Mang'wela akitoa elimu kuhusu mradi wa ujenzi wa Reli ya kisasa - SGR,faida za mradi,Changamoto na mambo ya kuzingatia katika kijiji cha Kikundi wilaya ya kilosa mkoani Morogoro
 Mhandisi wa TRC Bwana Edwin Leonard akitoa elimu kuhusu Mradi wa Uboreshaji wa reli ya kati Daressalaam- Isaka  kwa wanakijiji wa Kidete wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro katika kampeni ya uhamasishaji na uelewa kuhusu Miradi inayosimamiwa na TRC
 Mtaalamu wa masuala ya kijamii Bi Grolia Mrengo kutoka upande wa mkandarasi wa Yap Markez wa ujenzi wa Reli ya kisasa akiambatana na timu ya mawasiliano TRC kutoa elimu na uelewa wa mambo yanayotakiwa kuzingatiwa kipindi cha ujenzi wa Reli ya kisasa kwa awamu ya pili Morogoro - Makutupola katika kijiji cha Mzaganza wilaya kilosa mkoani Morogoro.
 Mtalaamu wa masuala ya kijamii kutoka upande wa mkandarasi wa mradi wa uboreshaji reli ya kati Daresalaam- Isaka Bi Mary Frank akiambatana na timu ya mawasiliano TRC akitoa elimu ya matumizi ya alama za tahadhari katika njia ya Reli kwa wanafunzi wa shule ya msingi Mwasa wilaya ya Kilosa,mkoani Morogoro.



Hivyo makala TRC WAENDELEA KUTOA ELIMU VIJIJINI KUHUSU MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA-SGR PAMOJA NA MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI DAR- ISAKA,

yaani makala yote TRC WAENDELEA KUTOA ELIMU VIJIJINI KUHUSU MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA-SGR PAMOJA NA MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI DAR- ISAKA, Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TRC WAENDELEA KUTOA ELIMU VIJIJINI KUHUSU MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA-SGR PAMOJA NA MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI DAR- ISAKA, mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/trc-waendelea-kutoa-elimu-vijijini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TRC WAENDELEA KUTOA ELIMU VIJIJINI KUHUSU MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA-SGR PAMOJA NA MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI DAR- ISAKA,"

Post a Comment