title : Mkurugenzi wa Idara ya habari maelezo amaliza ziara kisiwani Pemba azungumza na wanahabari
kiungo : Mkurugenzi wa Idara ya habari maelezo amaliza ziara kisiwani Pemba azungumza na wanahabari
Mkurugenzi wa Idara ya habari maelezo amaliza ziara kisiwani Pemba azungumza na wanahabari
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar, Hassan Vuai, akizungumza na baadhi ya Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vikiwemo vya Serikali na binafsi, baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea na kuzungumza na Wafanyakazi wa vyombo mbali mbali Kisiwani Pemba .
Picha na Hamad Shapandu -MAELEZO PEMBA.
Baadhi ya Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali Kisiwani Pemba, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara Habari maelezo Zanzibar,wakati alipozungumza nao kuhusiana na wajibu wao katika kufanikisha majukumu ya Uandishi wa habari .
Picha na Hamad Shapandu -Maelezo Pemba.
Hivyo makala Mkurugenzi wa Idara ya habari maelezo amaliza ziara kisiwani Pemba azungumza na wanahabari
yaani makala yote Mkurugenzi wa Idara ya habari maelezo amaliza ziara kisiwani Pemba azungumza na wanahabari Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkurugenzi wa Idara ya habari maelezo amaliza ziara kisiwani Pemba azungumza na wanahabari mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mkurugenzi-wa-idara-ya-habari-maelezo.html
0 Response to "Mkurugenzi wa Idara ya habari maelezo amaliza ziara kisiwani Pemba azungumza na wanahabari"
Post a Comment