DC Ilala agiza NEMC kuvunja nyumba Tabata

DC Ilala agiza NEMC kuvunja nyumba Tabata - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC Ilala agiza NEMC kuvunja nyumba Tabata, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC Ilala agiza NEMC kuvunja nyumba Tabata
kiungo : DC Ilala agiza NEMC kuvunja nyumba Tabata

soma pia


DC Ilala agiza NEMC kuvunja nyumba Tabata


 Na Heri Shaban
 Mwambawahabari
MKUU wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema ameagiza Baraza la Hafidhi ya Mazingira (NEMC) kivunja nyumba zilizopo mpaka wa Ubungo na Wilaya ya Ilala mto Tenge.


Tamko hilo lilitolewa Dar es Salaam jana wakati wa  ziara yake wilayani Ilala kutatatua kero za Wananchi wilayani humo .
Akitoa agizo hilo kwa  Mratibu wa mazingira Kanda MASHARIKI NEMC Jaffar Chingaga Mjema alilitaka Baraza hilo kutekeleza agizo la uvunjaji nyumba zote zilizofanya uharibifu eneo la mto Tenge

"Naagiza ofisini yako ya NEMC ije ivunje nyumba hizi ili upanuzi wa mto uweze kufanyika   nyumba zote ziache mita 60  kwa ajili ya hifadhi mto wa bonde LA mto Tenge "alisema Mjema.


Alisema mara baada kuvunjwa kwa nyumba hizo atawasiliana na Mkuu wa wilaya ya Ubungo waweze kumchukulia hatua Watendaji wa MANISPAA yake wakiotoa kibali cha eneo la Hafidhi ya bonde la mto huo  .

Alisema ifikie wakati kila mtu afuate sheria na ajue kwamba Serikali ipo sio kila kitu kuvunja sheria  hivyo katika hili sheria itafuatwa.

Aidha alisema hivi karibuni katika wilaya ya Ilala zoezi La urasilimishaji makazi linatarajia kuanza hivyo Washirikiane wote na kutenga maeno ya huduma za Jamii  ili yawepo.



Kwa upande wake Mkuu wa Idara ya Ardhi Manispaa ya Ilala Paulo MBEMBELWA alisema mtu yoyote katika eneo lake anayo mamlaka ya kujenga  lakini kabla kujenga lazima afute kibali Halmashauri ardhi Mali ya Serikali.

MBEMBELWA aliwataka watendaji na Wenyeviti  wa Serikali ya mtaa kushirikiana wote kulinda mipaka ya wananchi wao kwani ni moja ya jukumu la kazi yao.

Naye Mwananchi Fadhiri Msangi ameomba Serikali kuchukua hatua za haraka ili kupanua mto huo ili wasikumbwe tena na mafuriko  na waliohusika wachukuliwe hatua.

"Zamani katika Mtaa huu magari yalikuwa yanapita kwa sasa shida iliyopo tunashindwa kupita hata njia ya zarula wajawazito wakiumwa au yakitokea matukio ya uharifu kutokana na mto kuhamia Wilaya ya Ilala, kutoka wilaya ya Ubungo "alisema Msangi.



Hivyo makala DC Ilala agiza NEMC kuvunja nyumba Tabata

yaani makala yote DC Ilala agiza NEMC kuvunja nyumba Tabata Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC Ilala agiza NEMC kuvunja nyumba Tabata mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/dc-ilala-agiza-nemc-kuvunja-nyumba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC Ilala agiza NEMC kuvunja nyumba Tabata"

Post a Comment