TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YATOA HUDUMA BURE YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO, KUTOA USHAURI NA KUELEZA WANANCHI HUDUMA ZA MATIBABU YA MOYO WANAZOZITOA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YATOA HUDUMA BURE YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO, KUTOA USHAURI NA KUELEZA WANANCHI HUDUMA ZA MATIBABU YA MOYO WANAZOZITOA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YATOA HUDUMA BURE YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO, KUTOA USHAURI NA KUELEZA WANANCHI HUDUMA ZA MATIBABU YA MOYO WANAZOZITOA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YATOA HUDUMA BURE YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO, KUTOA USHAURI NA KUELEZA WANANCHI HUDUMA ZA MATIBABU YA MOYO WANAZOZITOA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
kiungo : TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YATOA HUDUMA BURE YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO, KUTOA USHAURI NA KUELEZA WANANCHI HUDUMA ZA MATIBABU YA MOYO WANAZOZITOA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

soma pia


TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YATOA HUDUMA BURE YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO, KUTOA USHAURI NA KUELEZA WANANCHI HUDUMA ZA MATIBABU YA MOYO WANAZOZITOA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Upendo Mwaipopo akimpima mapigo ya moyo (BP) Lei Jian ambaye alifika katika banda la Taasisi hiyo lililopo ndani ya Hema la Ali Hassan Mwinyi katika viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya kupima magonjwa ya Moyo bure, kupata ushauri na kuona huduma mbalimbali wanazozitoa.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Aika Nnkya akimpima mapigo ya moyo (BP) Elioth Mgulwa mkazi wa Makambako mkoani Njombe ambaye alitembelea banda la Taasisi hiyo lililopo ndani ya Hema la Ali Hassan Mwinyi katika viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya kupima magonjwa ya Moyo bure, kupata ushauri na kuona huduma mbalimbali za matibabu ya moyo wanazozitoa.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Aika Nnkya akimpa ushauri kuhusu afya ya moyo Kizito Joseph (kushoto) ambaye alitembelea banda la Taasisi hiyo lililopo ndani ya Hema la Ali Hassan Mwinyi katika viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya kupima magonjwa ya Moyo bure, kupata ushauri na kuona huduma mbalimbali za matibabu ya moyo wanazozitoa.
Mama Anastazia Mombeki (kulia) akipimwa urefu na Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Rogers Kibula wakati alipotembelea Banda la Taasisi hiyo lililopo ndani ya Hema la Ali Hassan Mwinyi katika viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya kupima magonjwa ya Moyo, kupata ushauri na kuona huduma mbalimbali za matibabu ya moyo wanazozitoa.



Hivyo makala TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YATOA HUDUMA BURE YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO, KUTOA USHAURI NA KUELEZA WANANCHI HUDUMA ZA MATIBABU YA MOYO WANAZOZITOA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

yaani makala yote TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YATOA HUDUMA BURE YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO, KUTOA USHAURI NA KUELEZA WANANCHI HUDUMA ZA MATIBABU YA MOYO WANAZOZITOA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YATOA HUDUMA BURE YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO, KUTOA USHAURI NA KUELEZA WANANCHI HUDUMA ZA MATIBABU YA MOYO WANAZOZITOA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/taasisi-ya-moyo-jakaya-kikwete-jkci_6.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YATOA HUDUMA BURE YA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO, KUTOA USHAURI NA KUELEZA WANANCHI HUDUMA ZA MATIBABU YA MOYO WANAZOZITOA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA"

Post a Comment