title : "SERIKALI YA CCM NIIPENDE KWA LIPI? WALIKATAAKUNITIBIA NILIMWAGIWA TINDIKALI" SIHAMI CHADEMA. KUBENEA.
kiungo : "SERIKALI YA CCM NIIPENDE KWA LIPI? WALIKATAAKUNITIBIA NILIMWAGIWA TINDIKALI" SIHAMI CHADEMA. KUBENEA.
"SERIKALI YA CCM NIIPENDE KWA LIPI? WALIKATAAKUNITIBIA NILIMWAGIWA TINDIKALI" SIHAMI CHADEMA. KUBENEA.
Na John Luhende
Mwambawahabari
Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea amesema hana mpango wa kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM kwa kuwa serikali ili shindwa kumsaidia alipomwagiwa tindikali wakati wa awamu ya nne chini ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.
Amesema sababu za aliyekuwa Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara kuhama CHADEMA ni za kipuuzi na kwamba yeye hawezi kufanya kitu kama hicho.
"kwenye mitandao ya kijamii baada ya Mwita Waitara kujiunga na CCM kumekuwa na maneno na wengine wametengeneza clip zinatembea Polepole anasema Kuna wabunge wengine wa upinzani mmoja wa Chadema Dar es Salaam, sija wahi kuzungumza na mtu yeyote wa CCM kwamba ni nataka kujiunga na Chama Chao. Alisema
Aidha amesema kwa madhara aliyo pitia kwa kumwagiza tindikali serikali ya CCM ilikataakumtibu ingawa Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Jakaya Kikwete alia hiding mbele ya Umma kuwa angetibiwa lakini baada ya kupelekwa kutibiwa hakutibiwa na Pesa ya serikali.
"Nimefanyiwa Operesheni ya macho maranne nimetibiwa India, Uingereza, na uholanzi sijatibiwa na pesa ya serikali, na sasa hivi nikiwa Mbunge nimeona kwenda kutibiwa macho nje maratatu lakini sija wahikupelekwa, sasa niipende CCM kwa lip?!" Alihoji Kubenea
Amesema anafahamu kazi hii ya kuchafua watu inafanywa na baadhi viongozi waliomo ndani ya CHADEMA kwa maslahi yao na wanafamiana na kuwataka wakafanyekazinyingine.
" Mimi siondoki humu kamakunamtu matatizo tuta rekebisha nikiwa humu humu, matatizo huwa hatarishi hata kwenye ndoa kunamatatizo nayakinishinda nitaondoka nikimaliza muda wangu na nitaenda kufanya shughulizingine maana mimi ni mwandishi vinginevyo hakuna mtu at aye niondoa nasiondoki" Amesema
Hivyo makala "SERIKALI YA CCM NIIPENDE KWA LIPI? WALIKATAAKUNITIBIA NILIMWAGIWA TINDIKALI" SIHAMI CHADEMA. KUBENEA.
yaani makala yote "SERIKALI YA CCM NIIPENDE KWA LIPI? WALIKATAAKUNITIBIA NILIMWAGIWA TINDIKALI" SIHAMI CHADEMA. KUBENEA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala "SERIKALI YA CCM NIIPENDE KWA LIPI? WALIKATAAKUNITIBIA NILIMWAGIWA TINDIKALI" SIHAMI CHADEMA. KUBENEA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/serikali-ya-ccm-niipende-kwa-lipi.html
0 Response to ""SERIKALI YA CCM NIIPENDE KWA LIPI? WALIKATAAKUNITIBIA NILIMWAGIWA TINDIKALI" SIHAMI CHADEMA. KUBENEA."
Post a Comment