title : MKURUGENZI WA UCHAGUZI, DKT. ATHUMANI KIHAMIA AKAGUA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI MANISPAA YA MOSHI, ARUSHA NA LONGIDO.
kiungo : MKURUGENZI WA UCHAGUZI, DKT. ATHUMANI KIHAMIA AKAGUA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI MANISPAA YA MOSHI, ARUSHA NA LONGIDO.
MKURUGENZI WA UCHAGUZI, DKT. ATHUMANI KIHAMIA AKAGUA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI MANISPAA YA MOSHI, ARUSHA NA LONGIDO.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Athumani Kihamia (katikati) akizungumza jambo na Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Moshi Bw. Michael Mwandezi (kulia) mara baada ya kuwasili katika Manispaa hiyo kufuatilia maandalizi ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani utakaofanyika katika Kata 1 . Kushoto ni Afisa kutoka NEC, Bw. Athuman Masesa.
Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Moshi Bw. Michael Mwandezi (kulia) akimweleza jambo Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Athumani Kihamia (katikati) mara baada ya mkurugenzi huyo kuwasili katika Manispaa ya Moshi kufuatilia maandalizi ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani utakaofanyika katika Kata 1 Agosti 12 mwaka huu . Kushoto ni Afisa kutoka NEC, Bw. Athuman Masesa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Athumani Kihamia (kulia) akipokea taarifa ya maandalizi ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani utakaofanyika katika Kata 4 za jimbo la Longido kutoka kwa Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo la Longido Bw. Jummaa Mohamed Mhina.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Athumani Kihamia (katikati) akipokea taarifa ya maandalizi ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani utakaofanyika katika Kata 4 za jimbo la Arusha kutoka kwa Msimamizi msaidizi wa Uchaguzi wa jimbo hilo Namyaki Wilfred Laitetei.PICHA ZOTE / NEC
Hivyo makala MKURUGENZI WA UCHAGUZI, DKT. ATHUMANI KIHAMIA AKAGUA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI MANISPAA YA MOSHI, ARUSHA NA LONGIDO.
yaani makala yote MKURUGENZI WA UCHAGUZI, DKT. ATHUMANI KIHAMIA AKAGUA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI MANISPAA YA MOSHI, ARUSHA NA LONGIDO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI WA UCHAGUZI, DKT. ATHUMANI KIHAMIA AKAGUA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI MANISPAA YA MOSHI, ARUSHA NA LONGIDO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mkurugenzi-wa-uchaguzi-dkt-athumani_29.html
0 Response to "MKURUGENZI WA UCHAGUZI, DKT. ATHUMANI KIHAMIA AKAGUA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI MANISPAA YA MOSHI, ARUSHA NA LONGIDO."
Post a Comment