RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA KOREA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SELANDER IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA KOREA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SELANDER IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA KOREA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SELANDER IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA KOREA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SELANDER IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA KOREA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SELANDER IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA KOREA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SELANDER IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon wakati wakielekea katika ukumbi wa Jakaya Kikwete uliopo Ikulu kwa ajili ya kushuhudia tukio la Utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander litakalopita baharini kuanzia katika Hospitali ya Agha Khan mpaka Coco beach jijini Dar es Salaam.
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon wakishuhudia tukio la utiaji saini Mkataba wa mradi wa ujenzi wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander litakalopita baharini kuanzia katika Hospitali ya Agha Khan hadi maeneo ya  Coco beach jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali  mara baada ya tukio la utiaji saini wa mradi wa ujenzi wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander litakalopita baharini kuanzia katika Hospitali ya Agha Khan mpaka Coco beach jijini Dar es Salaam. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon mara baada ya tukio la utiaji saini wa mradi wa ujenzi wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander litakalopita baharini kuanzia katika Hospitali ya Agha Khan mpaka Coco beach jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon watatu kutoka (kushoto)pamoja na viongozi wengine wa Jamhuri ya Korea, Serikali ya Tanzania, Wabunge, Wakuu wa Wilaya pamoja na viongozi wa Mkoa.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya Picha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-Yeon mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA KOREA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SELANDER IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA KOREA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SELANDER IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA KOREA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SELANDER IKULU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/rais-magufuli-na-waziri-mkuu-wa-korea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA KOREA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SELANDER IKULU JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment