SINGIDA UNITED KUTUMIA UWANJA WA AZAM COMPLEX DHIDI YA COASTAL UNION

SINGIDA UNITED KUTUMIA UWANJA WA AZAM COMPLEX DHIDI YA COASTAL UNION - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SINGIDA UNITED KUTUMIA UWANJA WA AZAM COMPLEX DHIDI YA COASTAL UNION, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SINGIDA UNITED KUTUMIA UWANJA WA AZAM COMPLEX DHIDI YA COASTAL UNION
kiungo : SINGIDA UNITED KUTUMIA UWANJA WA AZAM COMPLEX DHIDI YA COASTAL UNION

soma pia


SINGIDA UNITED KUTUMIA UWANJA WA AZAM COMPLEX DHIDI YA COASTAL UNION


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Mchezo wa Kombe la Shirikisho Azam Sports Federation Cup (ASFC) kati ya Singida United na Coastal Union sasa kufanyika Jijini Dar es Salaam. Singida United wameuomba uongozi wa TFF kuuruhusu mchezo huo kuchezwa Jijini Dar badala ya Singida kutokana na ugumu wa ratiba ya ligi na FA.

Akitoa taarifa hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Singida United United Festo Sanga amesema kuwa Kutokana na Ugumu wa ratiba yetu ya Ligi na kombe la FA, Mchezo wao dhidi ya Costal Union wa kombe la FA sasa utachezwa Dar es Salaaam tar 23/02/2019 badala ya Namfua Singida  ulivyopangwa awali.

Amesema kuwa,  leo Jumatano wanacheza na Ndanda Fc huko Mtwara, hivyo kesho  timu inatakiwa iondoke Mtwara kurejea Singida ambapo kwa umbali wa Mtwara hadi Singida ni safari ya Siku mbili, hivyo timu ingefika Singida tarehe Februari 22.

Sanga ameeleza kuwa mechi yao dhidi ya Coastal itachezwa Feb  23 wakiwa nyumbani Namfua na wameona kuwa  Jambo hilo tumeona sio salama kwa Afya ya wachezaji na mchezo husika.

Ameeleza kuwa kwa pamoja  viongozi wa Singida United wameuomba uongozi wa TFF ambao wao ndiyo wanaosimamia kombe la Azam Sports Federation Cup (FA) watubadilishie Uwanja ili kuendana na muda, angalau timu ipumzike na iweze kucheza Feb 23.

Sanga amewashukuru  TFF kwa kukubali ombi lao na wamewapatia Uwanja wa Azam Complex  na mechi itachezwa saa 1:00 usiku.

Uongozi wa Singida United umewaomba radhi kwa mashabiki na wanasingida, kwakuwa wameamua kubadili uwanja na wamefanya hivi kwa afya ya wachezaji wao na mchezo wenyewe.


Hivyo makala SINGIDA UNITED KUTUMIA UWANJA WA AZAM COMPLEX DHIDI YA COASTAL UNION

yaani makala yote SINGIDA UNITED KUTUMIA UWANJA WA AZAM COMPLEX DHIDI YA COASTAL UNION Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SINGIDA UNITED KUTUMIA UWANJA WA AZAM COMPLEX DHIDI YA COASTAL UNION mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/singida-united-kutumia-uwanja-wa-azam.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SINGIDA UNITED KUTUMIA UWANJA WA AZAM COMPLEX DHIDI YA COASTAL UNION"

Post a Comment