NEC yafanya mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini

NEC yafanya mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEC yafanya mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEC yafanya mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini
kiungo : NEC yafanya mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini

soma pia


NEC yafanya mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage akifafanua jambo kwa viongozi wa vyama vya siasa nchini (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Ubunge na Madiwani utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu.
 Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu, Semistocles Kaijage (hayupo pichani) kuhusu maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Ubunge na Madiwani utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu.
  Baadhi ya watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu, Semistocles Kaijage (hayupo pichani) kuhusu maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Ubunge na Madiwani utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu.
 Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Athumani Kihamia akifafanua jambo kwa viongozi wa vyama vya siasa nchini na watendaji wa Tume hiyo kuhusu maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Ubunge na Madiwani utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu, Semistocles Kaijage (mwenye tai nyeupe) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa tume hiyo pamoja na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa mara baada ya kueleza taarifa kuhusu maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Ubunge na Madiwani utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu. Picha na MAELEZO


Hivyo makala NEC yafanya mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini

yaani makala yote NEC yafanya mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEC yafanya mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/nec-yafanya-mkutano-na-viongozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEC yafanya mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini"

Post a Comment