MWENGE WA UHURU KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILLION 1.2 WILAYANI UBUNGO. - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWENGE WA UHURU KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILLION 1.2 WILAYANI UBUNGO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
MWENGE WA UHURU KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILLION 1.2 WILAYANI UBUNGO.kiungo :
MWENGE WA UHURU KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILLION 1.2 WILAYANI UBUNGO.
MWENGE WA UHURU KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILLION 1.2 WILAYANI UBUNGO.
Na John Luhende
Mwambawahabari
Mwenge wa Uhuru leo umeendelea na mbio zake katika mkoa wa Dar es Salaam kwa siku ya nne ambapo leo umeingia katika Wilaya ya Ubungo na unatarajiwa kuzindua na kukagua miradi saba ya maendeleo.
Akizungumza baada ya kupokea Mwenge wa Uhuru mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori amesema Mwenge utazindu miradi sita, miradi mitatu ni ya kuweka jiwe la msingi, miradi mitatu ni kuzindua na mradi na mradi mmoja ni wa kutembelea najumla ya miradi yote inathamani ya shilingi billion 1. 2.
Kwaupande wake kiongozi wa mbiyo za Mwenge mwaka 2018 Charles Kabeho amesisitiza wananchi kuwa pamoja na serikali kutoa elimu bure kwa shule za selikali Wazazi wanapaswa kutimiza wajibu wao kwa kuwanunulia madafutari na sale za shule watoto wao na kuona namna ya kuwapatia chakula shuleni ili waweze kusoma vizuri.
Aidha akiendelea kueleza kuhusu ujumbe wa mbio za Mwenge amewataka wananchi wa Ubungo kuchukua tahadhali ya ugonjwa wa UKIMWI, Maralia, mapambano dhidi ya rushwa, na madawa ya kulevya ambayo yanapunguza kwa kiasi kikubwa nguvu kazi kwa taifa.
Aidha ametoa agizo kwa Manispaa ya Ubungo ikiwahaijakamilisha ujenzi wa Maabara tatu za masomo ya Kemia, Bailojia na Fizikia kukamilisha haraka ili wanafunzi waweze kusoma kwa vitendo masomo ya Sayansi na kuongeza ufaulu.
Pamoja na hayo Kabeho amesema, serikali imetoa agizo kwa bodi ya mikopo kutoa mikopo kwa watoto wa masikini wasio weza kugharamia masomo ya chuo Kikuu na kuwataka ambao wanauwezo kujilipia wenyewe ili kuweka usawa.
Hivyo makala MWENGE WA UHURU KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILLION 1.2 WILAYANI UBUNGO.
yaani makala yote MWENGE WA UHURU KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILLION 1.2 WILAYANI UBUNGO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENGE WA UHURU KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILLION 1.2 WILAYANI UBUNGO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mwenge-wa-uhuru-kuzindua-miradi-ya.html
Related Posts :
KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA
… Read More...
WAKAZI WA LUMUKI WAPATA SHIDA KUTOKANA NA KUKOSA KIVUKO
NA MWAMVUA MWINYI, KIBAHA
BAADHI ya wakazi wa mitaa ya Lumumba ,Muheza na Kidimu (LUMUKI) wilayani Kibaha ,mkoani Pwani ,wanah… Read More...
NDUGULILE ATOA SIKU 14 KUKAMILISHWA KWA MASHINE YA X RAY HOSPITALI YA RUFAA DODOMA
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akikagua kitabu cha taarifa mbalimbali za ho… Read More...
Meli ya Kwanza iliyobeba Tani 7,250 za Reli za SGR kutoka Japan yawasili nchini
Meli ya Kwanza iliyobeba Tani 7,250 za Reli za SGR kutoka Japan imetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam na kazi ya kupakua reli na kup… Read More...
TBA WAKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA BUNJU, WANANCHI WAKARIBISHWA KUZINUNUANa Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mh. Elias Kwandikwa amefanya ziara katika mradi wa nyumba… Read More...
0 Response to "MWENGE WA UHURU KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILLION 1.2 WILAYANI UBUNGO."
Post a Comment