title : WAZIRI ISACK KAMWELWE AZUNGUMZA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA KUSINI
kiungo : WAZIRI ISACK KAMWELWE AZUNGUMZA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA KUSINI
WAZIRI ISACK KAMWELWE AZUNGUMZA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA KUSINI
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe akisalimiana na Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania, Bw. Song Geum-young wakati alipokutana nae katika ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe akifafanua jambo kwa ujumbe kutoka Ubalozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania na wawakilishi kutoka Wizarani kwake wakati alipokutana nao katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam leo.
Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania, Bw. Song Geum-young akizungumza na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe wakati alipokutana nae katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe akiagana na Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania, Bw. Song Geum-young baada ya mazungumzo katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam leo.
Hivyo makala WAZIRI ISACK KAMWELWE AZUNGUMZA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA KUSINI
yaani makala yote WAZIRI ISACK KAMWELWE AZUNGUMZA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA KUSINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI ISACK KAMWELWE AZUNGUMZA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA KUSINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/waziri-isack-kamwelwe-azungumza-na.html
0 Response to "WAZIRI ISACK KAMWELWE AZUNGUMZA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA KUSINI"
Post a Comment