MHANDISI ATASHASTA NDITIYE AZINDUA MKUTANO WA 16 WA SAPOA, HUDUMA YA POSTA MLANGONI KUFIKA KOTE NCHINI

MHANDISI ATASHASTA NDITIYE AZINDUA MKUTANO WA 16 WA SAPOA, HUDUMA YA POSTA MLANGONI KUFIKA KOTE NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MHANDISI ATASHASTA NDITIYE AZINDUA MKUTANO WA 16 WA SAPOA, HUDUMA YA POSTA MLANGONI KUFIKA KOTE NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MHANDISI ATASHASTA NDITIYE AZINDUA MKUTANO WA 16 WA SAPOA, HUDUMA YA POSTA MLANGONI KUFIKA KOTE NCHINI
kiungo : MHANDISI ATASHASTA NDITIYE AZINDUA MKUTANO WA 16 WA SAPOA, HUDUMA YA POSTA MLANGONI KUFIKA KOTE NCHINI

soma pia


MHANDISI ATASHASTA NDITIYE AZINDUA MKUTANO WA 16 WA SAPOA, HUDUMA YA POSTA MLANGONI KUFIKA KOTE NCHINI


Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii

NAIBU Waziri wa  uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amezindua mkutano wa 16 wa SAPOA ambao ni muunganiko wa mashirika ya Posta kwa nchi za SADC.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Nditiye ameeleza kuwa mkutano huo ni kwa lengo la kupeana mawazo namna ya kuendesha shirika hilo katika ukanda wa SADC kanda ya Afrika na duniani kwa ujumla.

" Tanzania ni mwanachama pia katika muunganiko wa SADC  na duniani kwa ujumla na kama shirika linafanya shughuli ambazo zinafahamika  na licha ya kusuasua kwa sasa liko hai na imara na litapeleka gawio kwa serikali,"amesema. Aidha ameeleza kuwa shirika hilo lipo vizuri na katika usafirishaji wa vifurushi na mizigo kwa wakati na salama zaidi.

Kuhusu na maendeleo ya sayansi na teknolojia hasa katika matumizi ya mitandao kuzorotesha huduma zao Nditiye amesema kuwa wana ukurasa wao ujulikanao kama Www.posta.co.tz ambao unafanya vizuri ambao unawasaidia watanzania kusafirisha na kuuza bidhaa popote alipo na malipo yatamfikia alipo.

Nditiye ametoa mwito kwa wananchi kupitia TAMISEMI kutaja majina ya mitaa nchini kote ili shirika kuweza kutoa huduma kwa urahisi zaidi kupitia huduma ya posta mlangoni.Kwa upande wa Posta Masta Mkuu Hassan Mwang'ombe amesema kuwa hiyo ni fursa kwao katika kujifunza kutoka kwa wadau wa mataifa mbalimbali ili kuongeza mbinu na maarifa katika kuhudumia wateja wao.

Amefafanua kuwa mkutano huo utawasaidia katika kuboresha huduma hasa ya teknolojia sambamba na utekelezwaji wake.Mkutano huo umehudhuriwa na nchi 13 kama vile Malawi, Burundi, Afrika ya Kusini na Tanzania ambaye ni mwenyeji wa mkutano huo.
Naibu Waziri ya uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akizungumza katika ufunguzi wa mkutano wa 16 wa SAPOA ulioshirikisha nchi 13 jijini Dar leo.


Hivyo makala MHANDISI ATASHASTA NDITIYE AZINDUA MKUTANO WA 16 WA SAPOA, HUDUMA YA POSTA MLANGONI KUFIKA KOTE NCHINI

yaani makala yote MHANDISI ATASHASTA NDITIYE AZINDUA MKUTANO WA 16 WA SAPOA, HUDUMA YA POSTA MLANGONI KUFIKA KOTE NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MHANDISI ATASHASTA NDITIYE AZINDUA MKUTANO WA 16 WA SAPOA, HUDUMA YA POSTA MLANGONI KUFIKA KOTE NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mhandisi-atashasta-nditiye-azindua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MHANDISI ATASHASTA NDITIYE AZINDUA MKUTANO WA 16 WA SAPOA, HUDUMA YA POSTA MLANGONI KUFIKA KOTE NCHINI"

Post a Comment