Wachimbaji Wadogo Kunufaika na Vituo Vya Umahiri

Wachimbaji Wadogo Kunufaika na Vituo Vya Umahiri - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wachimbaji Wadogo Kunufaika na Vituo Vya Umahiri, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wachimbaji Wadogo Kunufaika na Vituo Vya Umahiri
kiungo : Wachimbaji Wadogo Kunufaika na Vituo Vya Umahiri

soma pia


Wachimbaji Wadogo Kunufaika na Vituo Vya Umahiri

Waziri wa Madini Mhe. Angellah Kairuki akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kusaini mikataba mitatu ya ujenzi wa vituo saba vya umahiri pamoja na jengo la mafunzo kwa wachimbaji wadogo katika chuo cha Madini Dodoma. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo, Kulia ni Katibu Mkuu Wizara hiyo Prof Simon Msanjila  na Mkurugenzi Mtendaji wa Idara ya Ujenzi-SUMA JKT Mhandisi Morgan Nyonyi. 
Katibu Mkuu Wizara Wizara ya Madini Prof Simon Msanjila(kushoto)  na Mkurugenzi Mtendaji wa Idara ya Ujenzi-SUMA JKT Mhandisi Morgan Nyonyi wakibadilishana mkataba wa ujenzi wa vituo saba vya umahiri pamoja na jengo la mafunzo kwa wachimbaji wadogo  na vitakavyojengwa  katika  chuo cha Madini Dodoma. 
Waziri wa Madini Mhe. Angellah Kairuki na Naibu Waziri wake Mhe. Stanslaus Nyongo wakishuhudia utiaji saini mikataba mitatu ya ujenzi wa vituo saba vya umahiri pamoja na jengo la mafunzo kwa wachimbaji wadogo vitakavyojengwa  katika chuo cha Madini Dodoma.Wanaotia saini ni Katibu Mkuu Wizara hiyo Prof Simon Msanjila  na Mkurugenzi Mtendaji wa Idara ya Ujenzi-SUMA JKT Mhandisi Morgan Nyonyi. Picha zote na Daudi Manongi-MAELEZO,DODOMA. 


Hivyo makala Wachimbaji Wadogo Kunufaika na Vituo Vya Umahiri

yaani makala yote Wachimbaji Wadogo Kunufaika na Vituo Vya Umahiri Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wachimbaji Wadogo Kunufaika na Vituo Vya Umahiri mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/wachimbaji-wadogo-kunufaika-na-vituo_9.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wachimbaji Wadogo Kunufaika na Vituo Vya Umahiri"

Post a Comment