MBEBA MIZIGO ABEID AMRI ANYAKUA KOMBE LA‘SUPA MZUKA CUP’ LA MILIONI 300

MBEBA MIZIGO ABEID AMRI ANYAKUA KOMBE LA‘SUPA MZUKA CUP’ LA MILIONI 300 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBEBA MIZIGO ABEID AMRI ANYAKUA KOMBE LA‘SUPA MZUKA CUP’ LA MILIONI 300, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBEBA MIZIGO ABEID AMRI ANYAKUA KOMBE LA‘SUPA MZUKA CUP’ LA MILIONI 300
kiungo : MBEBA MIZIGO ABEID AMRI ANYAKUA KOMBE LA‘SUPA MZUKA CUP’ LA MILIONI 300

soma pia


MBEBA MIZIGO ABEID AMRI ANYAKUA KOMBE LA‘SUPA MZUKA CUP’ LA MILIONI 300


TatuMzuka, mchezo wa namba unaoongoza nchini Tanzania leo umemkabidhi Mshindi wa kampeini ya ‘SupaMzuka Cup’ aliyeshinda katika fainali tarehe 15 Julai 2018 kitita cha milioni 300 za kitanzania.

Abeid Amri, 28 anayeishi Mbagala Wilaya ya Temeke Dar es Salaam ndiye ameibuka mshindi wa Jackpot kubwa kuwahi kutokea nchini Tanzania. Amri hakushinda peke yake bali alichagua timu yake ya watu 10 ili kukamilisha timu yake ya watu 11 ambapo kila mmoja amepata milioni 1.

“Tumepata faraja kubwa kushuhudia Mtanzania mwenzetu akipata ushindi mkubwa kiasi hiki. Umetuandikia historia leo kwa sababu haijawahi kutokea nchini Tanzania mtu kushinda million 300. ” Alisema Bwana Sebastian Maganga, Mkurugenzi wa mawasiliano wa TatuMzuka

Kwa Msimu huu wa SupaMzuka Jackpot watu wamecheza na kushinda na marafiki, na Bwana Amri pia alichagua timu yake ambao ni; 1 Mwanaidi Omary, 2.Subira Issa 3. Jasmin Issa 4. Shufwaa Issa 5. Farhat Issa 6. Omary Issa, 7. Amin Issa 8. Mwanaasha Omary, 9. Agness Samwel, 10. Magdalena.

“Mimi sijala vizuri, wala kulala tangu siku hiyo jumapili. Kila saa nawaza kama ni ndoto alafu nitaamka, lakini sasa naamini kabisa kwamba ni kweli nimeshinda” aliezea Amri. “Nina furaha sana na pia kushinda na marafiki, najiskia kama wengi tumeshinda!” alisisitiza Amri.

Mkurugenzi wa mawasiliano wa TatuMzuka Sebastian Maganga akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani),wakati wa akimtambulisha Mshindi wa kampeini ya ‘SupaMzuka Cup’ aliyeshinda katika fainali tarehe 15 Julai 2018 kitita cha milioni 300 za kitanzania,Abeid Amri mkazi kutoka Mbagala

Abeid Amri, 28 anayeishi Mbagala Wilaya ya Temeke Dar es Salaam ndiye ameibuka mshindi wa Jackpot kubwa kuwahi kutokea nchini Tanzania. Amri hakushinda peke yake bali alichagua timu yake ya watu 10 ili kukamilisha timu yake ya watu 11 ambapo kila mmoja amepata milioni 1. Mwakilishi kutoka kampuni ya michezo ya kubahatisha Abdallah Hemed
Wanahabari wakifuatilia tukio hilo 
Mkurugenzi wa mawasiliano wa TatuMzuka Sebastian Maganga akimkabidhi mfano wa hundi Mshindi wa kampeini ya ‘SupaMzuka Cup’ aliyeshinda katika fainali tarehe 15 Julai 2018 kitita cha milioni 300 za kitanzania,Abeid Amri mkazi kutoka Mbagala



Hivyo makala MBEBA MIZIGO ABEID AMRI ANYAKUA KOMBE LA‘SUPA MZUKA CUP’ LA MILIONI 300

yaani makala yote MBEBA MIZIGO ABEID AMRI ANYAKUA KOMBE LA‘SUPA MZUKA CUP’ LA MILIONI 300 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBEBA MIZIGO ABEID AMRI ANYAKUA KOMBE LA‘SUPA MZUKA CUP’ LA MILIONI 300 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mbeba-mizigo-abeid-amri-anyakua-kombe.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBEBA MIZIGO ABEID AMRI ANYAKUA KOMBE LA‘SUPA MZUKA CUP’ LA MILIONI 300"

Post a Comment