MAKAMU WA RAIS AZINDUA NYUMBA 14 ZA WATUMISHI HALMASHAURI YA BUSEKELO ZILIZOJENGWA NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA

MAKAMU WA RAIS AZINDUA NYUMBA 14 ZA WATUMISHI HALMASHAURI YA BUSEKELO ZILIZOJENGWA NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AZINDUA NYUMBA 14 ZA WATUMISHI HALMASHAURI YA BUSEKELO ZILIZOJENGWA NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AZINDUA NYUMBA 14 ZA WATUMISHI HALMASHAURI YA BUSEKELO ZILIZOJENGWA NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA
kiungo : MAKAMU WA RAIS AZINDUA NYUMBA 14 ZA WATUMISHI HALMASHAURI YA BUSEKELO ZILIZOJENGWA NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA

soma pia


MAKAMU WA RAIS AZINDUA NYUMBA 14 ZA WATUMISHI HALMASHAURI YA BUSEKELO ZILIZOJENGWA NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ufunguzi wa nyumba 14 za watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Busekelo zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa, kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa Bw. Felix Manyama Maagi. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipitia kitabu kinachoelezea utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika jimbo la Busekelo alichokabidhiwa na Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Mhe. Atupele Mwakibete wakati wa ufunguzi wa nyumba 14 za watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Busekelo zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mzee Mark Mwandosya,alipowasili kuweka jiwe la msingi la ufunguzi wa nyumba 14 za watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Busekelo zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa, kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa Bw. Felix Manyama Maagi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA NYUMBA 14 ZA WATUMISHI HALMASHAURI YA BUSEKELO ZILIZOJENGWA NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AZINDUA NYUMBA 14 ZA WATUMISHI HALMASHAURI YA BUSEKELO ZILIZOJENGWA NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA NYUMBA 14 ZA WATUMISHI HALMASHAURI YA BUSEKELO ZILIZOJENGWA NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/makamu-wa-rais-azindua-nyumba-14-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AZINDUA NYUMBA 14 ZA WATUMISHI HALMASHAURI YA BUSEKELO ZILIZOJENGWA NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA"

Post a Comment