JAJI MKUU AWATAKA MAHAKIMU KUTOCHELEWESHA MASHAURI

JAJI MKUU AWATAKA MAHAKIMU KUTOCHELEWESHA MASHAURI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAJI MKUU AWATAKA MAHAKIMU KUTOCHELEWESHA MASHAURI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAJI MKUU AWATAKA MAHAKIMU KUTOCHELEWESHA MASHAURI
kiungo : JAJI MKUU AWATAKA MAHAKIMU KUTOCHELEWESHA MASHAURI

soma pia


JAJI MKUU AWATAKA MAHAKIMU KUTOCHELEWESHA MASHAURI

Na Magreth Kinabo 

Jaji Mkuu wa Tanzania,Mhe .Profesa Ibrahim Juma amewataka mahakimu wapya wasiwe chanzo cha ucheleweshaji wa mashauri.

Aidha kuacha kulalamika bali pale linapotokea matatizo, bali wawe chachu ya kuyatafutia ufumbuzi katika utendaji wao wa kazi wa kutoa huduma za haki kwa wananchi.Kauli hiyo imetolewa leo na Jaji Mkuu huyo wakati akiwaapisha Mahakimu wapya kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam.

“ Kiapo mlichoapa ni uzito muda wote mtakaofanya kazi ya kuwatumikia wananchi, wananchi wanataka kutatuliwa kwa malalamiko yao kwa haraka,” Aliongeza kwamba mfumo wa sasa sio wa kukaa na kulalamika, kama kuna tatizo litafutiwe ufumbuzi na kuepuka kuwa chanzo cha ulalamishi.

Alisema mahakimu hao wanapaswa kuwa weledi wanapotoa huduma za utoaji haki ili waweze kutoa hukumu zinazoeleweka kwa kujibu wa sheria na kanuni. Hivyo wanapaswa kushirikiana na wadau wengine wa mahakama ili kuahakikisha hukumu zinatoka kwa haraka.Alisisitiza mahakimu hao kwamba kufanya kazi kwa kuepuka rushwa na kwa nidhamu.

Jaji Mkuu huyo alifafanua kuwa changamoto za majengo chakavu na umbali , visikwamishe utendaji kazi wao, hivyo mahakama iko katika Mpango Mkakati wa Miaka Mitano ambao unalenga kutoa huduma za haki kwa wote na wakati, ikiwemo kuboresha miundombinu.

Aliwataka mahakimu hao kuielewa taasisi inayofanyakazi na mpango mkakati huo.


Hivyo makala JAJI MKUU AWATAKA MAHAKIMU KUTOCHELEWESHA MASHAURI

yaani makala yote JAJI MKUU AWATAKA MAHAKIMU KUTOCHELEWESHA MASHAURI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAJI MKUU AWATAKA MAHAKIMU KUTOCHELEWESHA MASHAURI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/jaji-mkuu-awataka-mahakimu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAJI MKUU AWATAKA MAHAKIMU KUTOCHELEWESHA MASHAURI"

Post a Comment