MHE. BALOZI MAKILA JAMES ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON, D.C

MHE. BALOZI MAKILA JAMES ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON, D.C - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MHE. BALOZI MAKILA JAMES ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON, D.C, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MHE. BALOZI MAKILA JAMES ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON, D.C
kiungo : MHE. BALOZI MAKILA JAMES ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON, D.C

soma pia


MHE. BALOZI MAKILA JAMES ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON, D.C

Mhe. Balozi Makila James, Naibu Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayesimamia masuala ya Afrika Mashariki na Sudan alimtembelea Mhe. Balozi Wilson Masilingi na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza kuimarisha mahusiano kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi rafiki ya Marekani.
 
Mhe. Wilson Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marekani na Mexico akiwa na Mhe. Balozi Makila James, Naibu Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayesimamia masuala ya Afrika Mashariki na Sudan.
Mhe. Wilson Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marekani na Mexico akiwa na Mhe. Balozi Makila James (Deputy Assistant Secretary of State for East Africa and the Sudans) na Bw. Michael Fraser Msaidizi wake, katika picha ya pamoja na maafisa wa Ubalozi Bw. Dismas Assenga, Brigedia Jenerali Adolph Mutta, Bi. Swahiba Mndeme, Bi. Jean Msabila na Bw. Mugendi Zoka.


Hivyo makala MHE. BALOZI MAKILA JAMES ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON, D.C

yaani makala yote MHE. BALOZI MAKILA JAMES ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON, D.C Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MHE. BALOZI MAKILA JAMES ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON, D.C mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/mhe-balozi-makila-james-atembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MHE. BALOZI MAKILA JAMES ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON, D.C"

Post a Comment