title : MSAADA WA CHAKULA.DAWA NA VIFAA VYA KUJIHIFADHI VYAWASILI HARARE,ZIMBABWE.
kiungo : MSAADA WA CHAKULA.DAWA NA VIFAA VYA KUJIHIFADHI VYAWASILI HARARE,ZIMBABWE.
MSAADA WA CHAKULA.DAWA NA VIFAA VYA KUJIHIFADHI VYAWASILI HARARE,ZIMBABWE.
Msaada wa Chakula, Dawa na vifaa vya kujihifadhi umewasili Harare nchini Zimbabwe baada ya kupelekwa na ndege za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania {JWTZ} kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa maafa yaliyosababishwa na kimbunga Idai ambacho kimeikumba sehemu ya nchi hiyo.
Pamoja na kusababisha mafuriko, vifo na maelfu ya kaya kukosa makazi, kimbunga hicho kimesababisha kaya nyingi kuhitaji chakula, dawa na mahali pa kujihifadhi kwa haraka.
Nchi nyingine zilizokumbwa na kimbunga hicho ni Msumbiji na Malawi ambako maelfu ya watu wamepoteza maisha na mamilioni kukosa makazi.
Jana Machi 19, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alitoa msaada wa tani 214 za chakula, Dawa tani 24 na vifaa vya kujihifadhi vikiwemo blanketi, shuka, vyandarua na magodoro ambavyo vilipelekwa katika nchi hizo kwa ndege na Malori ya Jeshi.
Hivyo makala MSAADA WA CHAKULA.DAWA NA VIFAA VYA KUJIHIFADHI VYAWASILI HARARE,ZIMBABWE.
yaani makala yote MSAADA WA CHAKULA.DAWA NA VIFAA VYA KUJIHIFADHI VYAWASILI HARARE,ZIMBABWE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSAADA WA CHAKULA.DAWA NA VIFAA VYA KUJIHIFADHI VYAWASILI HARARE,ZIMBABWE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/msaada-wa-chakuladawa-na-vifaa-vya.html
0 Response to "MSAADA WA CHAKULA.DAWA NA VIFAA VYA KUJIHIFADHI VYAWASILI HARARE,ZIMBABWE."
Post a Comment