title : MAKAMU WA RAIS APOKEWA KWA SHANGWE MKOANI MBEYA
kiungo : MAKAMU WA RAIS APOKEWA KWA SHANGWE MKOANI MBEYA
MAKAMU WA RAIS APOKEWA KWA SHANGWE MKOANI MBEYA
Wakazi wa Mbalizi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliposimama na kuwasalimia wakati akiwasili mkoani Mbeya tayari kwa ziara ya kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani humo ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza mbele ya Wakazi wa mji wa Mbalizi (hawapo pichani) waliojitokeza kumpokea wakati akiwasili mkoani Mbeya tayari kwa ziara ya kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani Mbeya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wakazi wa Mbalizi waliojitokeza kumpokea wakati akiwasili mkoani Mbeya tayari kwa ziara ya kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani Mbeya. ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS APOKEWA KWA SHANGWE MKOANI MBEYA
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS APOKEWA KWA SHANGWE MKOANI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS APOKEWA KWA SHANGWE MKOANI MBEYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/makamu-wa-rais-apokewa-kwa-shangwe.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS APOKEWA KWA SHANGWE MKOANI MBEYA"
Post a Comment