title : Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Adhimisha Siku ya Mashujaa Kwa Kushiriki Katika Usafi wa Mazingira Eneo la Coco Beach Jijini Dar es Salaam leo.
kiungo : Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Adhimisha Siku ya Mashujaa Kwa Kushiriki Katika Usafi wa Mazingira Eneo la Coco Beach Jijini Dar es Salaam leo.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Adhimisha Siku ya Mashujaa Kwa Kushiriki Katika Usafi wa Mazingira Eneo la Coco Beach Jijini Dar es Salaam leo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitembea kwa miguu kuelekea kwenye eneo la Coco Beach jijini Dar es salaam ambako Julai 25, 2018 waliadhimisha Siku ya Mashujaa kwa kushiriki katika kufanya usafi wa mazingira. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ally Happy baada ya kuwasili katika eneo la Coco Beach jijini Dar es salaam kuadhimisha siku ya Mashujaa kwa kushiriki katika kufanya usafi wa mazingira kwenye eneo hilo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakifyeka nyasi kwenye eneo la Coco Beach jijini Dar es salaam wakati waliposhiriki katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa kwa kufanya usafi wa mazingira katika eneo hilo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakipeleka uchafu kwenye gari la takataka wakati waliposhiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa kwa kufanya usafi wa mazingira kwenye eneo la Coco Beach jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la Coco Beach baada ya kushiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa kwa kufanya usafi wa mazingira kwenye eneo hilo Julai 25, 2018. Wapili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ally Happy
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la Coco Beach baada ya kushirika katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa kwa kufanya usafi wa mazingira katika eneo hilo Julai 25, 2018. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ally Happy.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimwagilia mti alioupanda baada ya Kuadhimisha Siku ya Mashujaa kwa kushiriki katika kufanya usafi kwenye eneo la Coco Beach jijini Dar es salam Julai 25, 2018. Kushoto ni mkewe Mary na Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ally Happy
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakizungumza na Bibi Amina Fadhili (kulia) baada ya kuadhimisha siku ya Mashujaa kwa kushiriki katika kufanya usafi wa mazingira kwenye eneo la Coco Beach jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mashine ya kukamua juisi ya miwa, mali ya Abdillah Issa (kulia) wakati alipotembelea eneo la Coco Beach jijini Dar es salaam baada ya kuadhimisha Siku ya Mashujaa kwa kushiriki katika kufanya usafi wa mazingira kwenye eneo hilo Julai 25, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Adhimisha Siku ya Mashujaa Kwa Kushiriki Katika Usafi wa Mazingira Eneo la Coco Beach Jijini Dar es Salaam leo.
yaani makala yote Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Adhimisha Siku ya Mashujaa Kwa Kushiriki Katika Usafi wa Mazingira Eneo la Coco Beach Jijini Dar es Salaam leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Adhimisha Siku ya Mashujaa Kwa Kushiriki Katika Usafi wa Mazingira Eneo la Coco Beach Jijini Dar es Salaam leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/waziri-mkuu-wa-tanzania-mhe-kassim_25.html
0 Response to "Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Adhimisha Siku ya Mashujaa Kwa Kushiriki Katika Usafi wa Mazingira Eneo la Coco Beach Jijini Dar es Salaam leo."
Post a Comment