IGP SIRRO ATEUA KAIMU KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR NA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM

IGP SIRRO ATEUA KAIMU KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR NA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO ATEUA KAIMU KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR NA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO ATEUA KAIMU KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR NA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM
kiungo : IGP SIRRO ATEUA KAIMU KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR NA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM

soma pia


IGP SIRRO ATEUA KAIMU KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR NA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM



Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Nyakoro Sirro amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Juma Yusuf Ally kuwa Kaimu Kamishna wa Polisi Zanzibar.

Uteuzi huo unafuatia kustaafu kwa aliyekuwa kamishna wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdani Omari Makame kwa mujibu wa sheria baada ya kutimiza umri wa miaka sitini (60).

Kabla ya uteuzi huo DCP Juma alikuwa ni Mkuu wa Utawala na Fedha Makao Makuu ya Polisi Zanzibar.

IGP Sirro pia amemteua Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi  (SACP) Lazaro Mambosasa kuwa Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Kabla ya uteuzi huo, SACP Mambosasa alikuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma.

Kufuatia uteuzi huo, aliyekuwa Kaimu Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam anakwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, na aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi  (SACP) Neema Mwalimu Mwanga anakwenda Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam.

IGP Sirro pia amemteua aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Gilles Bilabaye Mroto kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma na  Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Emmanuel Lukula kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Temeke.

Kabla ya uteuzi huo, ACP Lukula alikuwa Afisa Mnadhimu wa Polisi mkoa wa Mbeya.

Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi wote kuendela kushirikiana na Jeshi hilo kwa kufichua taarifa za uhalifu na wahalifu ili kwa pamoja tuendelee kuiweka Tanzania salama.


Imetolewa na:
Barnabas David Mwakalukwa - ACP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi.
S.L.P 9141
Dar es Salaam





Hivyo makala IGP SIRRO ATEUA KAIMU KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR NA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM

yaani makala yote IGP SIRRO ATEUA KAIMU KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR NA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO ATEUA KAIMU KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR NA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/igp-sirro-ateua-kaimu-kamishna-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "IGP SIRRO ATEUA KAIMU KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR NA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM"

Post a Comment