Ushauri Alioutoa Ney wa Mitego Kwa Ali Kiba, Dimpoz Pamoja na Diamond

Ushauri Alioutoa Ney wa Mitego Kwa Ali Kiba, Dimpoz Pamoja na Diamond - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ushauri Alioutoa Ney wa Mitego Kwa Ali Kiba, Dimpoz Pamoja na Diamond, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ushauri Alioutoa Ney wa Mitego Kwa Ali Kiba, Dimpoz Pamoja na Diamond
kiungo : Ushauri Alioutoa Ney wa Mitego Kwa Ali Kiba, Dimpoz Pamoja na Diamond

soma pia


Ushauri Alioutoa Ney wa Mitego Kwa Ali Kiba, Dimpoz Pamoja na Diamond

Ushauri Alioutoa Ney wa Mitego Kwa Ali Kiba, Dimpoz Pamoja na Diamond
Wakati vita baridi ikiendelea kuunguruma huko mitandaoni kati ya wanamuziki Diamond, Ally Kiba na Ommy Dimpoz, rapa Nay wa Mitego ameibuka na kutoa neno lake la kukemea kuwahusisha wazazi katika mabifu yao.


Licha ya Nay kuwahi kuimba kwenye ngoma yake mstari unaosema, “nampenda demu wangu kuliko mama yangu”, lakini ameonekana kuguswa na kuchukizwa na kitendo cha Dimpoz, kumhusisha mama wa Diamond katika ugomvi wao.

“Gombaneni, roganeni mpaka muuane, napenda kusikia changamoto kwenye gemu, ila tusiwaingize wazazi wetu tafadhali, tukananeni matusi yote wenyewe kwa wenyewe ikibidi piganeni kabisa atakaye kufa tutazika na itakuwa historia kama Big na Pac.
nay wa mitego

“Ila kuwaingiza wazazi ni ujinga, sipo upande wowote si kwa Kiba, Dimpoz wala Diamond, endeleeni na vita yenu kama wanawake mmechukuliana mabwana, ila suala la wazazi mnavuka mipaka,” aliandika Nay wa Mitego katika akaunti yake kwenye mtandao wa Instagram.


Hivyo makala Ushauri Alioutoa Ney wa Mitego Kwa Ali Kiba, Dimpoz Pamoja na Diamond

yaani makala yote Ushauri Alioutoa Ney wa Mitego Kwa Ali Kiba, Dimpoz Pamoja na Diamond Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ushauri Alioutoa Ney wa Mitego Kwa Ali Kiba, Dimpoz Pamoja na Diamond mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ushauri-alioutoa-ney-wa-mitego-kwa-ali.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Ushauri Alioutoa Ney wa Mitego Kwa Ali Kiba, Dimpoz Pamoja na Diamond"

Post a Comment