title : KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA JIJINI DAR ES SALAAM
KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA JIJINI DAR ES SALAAM
.
Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu, Susan Kiwanga, akichangia hoja katika taarifa hiyo, ya utendaji wa shirika hilo.
Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu, Charles Kitwanga (kulia), akichangia hoja katika taarifa hiyo, ya utendaji wa shirika hilo.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sekta ya Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, akitoa maelezo zaidi kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu, kuhusu utekelezaji wa taarifa hiyo. Katikati ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Moshi Seleman Kakoso na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Moshi Seleman Kakoso, akitoa maelekezo kwa uongozi wa Shirika la Posta wakati akihitimisha mkutano huo. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sekta ya Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu, wakiwa katika picha ya pamoja kionesha alama ya dole gumba ikiwa ni ishara ya kuunga mkono kauli mbiu ya Shirika ya 'Lets Go' mara baada ya kumaliza ziara yao kwenye shirika hilo, Makao Makuu ya Shirika la Posta Tanzania.
Hivyo makala KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/kamati-ya-bunge-ya-miundombinu_10.html
0 Response to "KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment