title : JESHI LA POLISI RUVUMA LAENDESHA MAFUNZO KWA MADEREVA WA MAGARI YA MALORI, MASAFA MAREFU
kiungo : JESHI LA POLISI RUVUMA LAENDESHA MAFUNZO KWA MADEREVA WA MAGARI YA MALORI, MASAFA MAREFU
JESHI LA POLISI RUVUMA LAENDESHA MAFUNZO KWA MADEREVA WA MAGARI YA MALORI, MASAFA MAREFU
Na Ripota Wetu, Globu ya jamii
SERIKALI ya Mkoa wa Ruvuma, kupitia Jeshi la Polisi limeendesha mafunzo rasmi kwa madereva wa Malori yanayofanya safari za masafa marefu na mafupi kwa lengo la kupunguza ajali za barabarani.
Miongoni mwa madereva waliopewa mafunzo ni madereva wa magari makubwa wanaobeba makaa ya mawe kutoka mkoani Ruvuma kwenda mikoa mingine pamoja na nchi jirani.
Taarifa kwa vyombo vya habari imesema kuwa katika mafunzo hayo madereva wametakiwa kuzingatia sheria za barabarani kwa lengo la kujikinga na ajali ambazo husababisha vifo na majeruhi.
Semina hiyo imetolewa na Jeshi la Polisi mkoa katika eneo la Kitai wilayani Mbinga ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Mkoa wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ya kuwataka wadau kuungana katika kuzuia ajali za barabarani.
Kauli mbiu ya mafunzo hayo inasema hivi "Ruvuma bila ajali inawezekana"
"Usalama unaanza na mimi".
Hivyo makala JESHI LA POLISI RUVUMA LAENDESHA MAFUNZO KWA MADEREVA WA MAGARI YA MALORI, MASAFA MAREFU
yaani makala yote JESHI LA POLISI RUVUMA LAENDESHA MAFUNZO KWA MADEREVA WA MAGARI YA MALORI, MASAFA MAREFU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA POLISI RUVUMA LAENDESHA MAFUNZO KWA MADEREVA WA MAGARI YA MALORI, MASAFA MAREFU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/jeshi-la-polisi-ruvuma-laendesha.html
0 Response to "JESHI LA POLISI RUVUMA LAENDESHA MAFUNZO KWA MADEREVA WA MAGARI YA MALORI, MASAFA MAREFU"
Post a Comment