POLISI DAR WANASA WATUHUMIWA WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU

POLISI DAR WANASA WATUHUMIWA WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POLISI DAR WANASA WATUHUMIWA WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POLISI DAR WANASA WATUHUMIWA WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU
kiungo : POLISI DAR WANASA WATUHUMIWA WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU

soma pia


POLISI DAR WANASA WATUHUMIWA WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU


Na Hadija Seif, Globu ya jamii 
JESHI  la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limefanikiwa kukamata watuhumiwa mbalimbali wanaojihusisha na uharifu uporaji,ukabaji pamoja na unyang'anyi .  
  
Akizungumza leo Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Liberatus Sabas amesema jana saa 03:30 raia wema walitoa taarifa  kuwa kuna mtu mmoja anamiliki silaha ambapo ufuatiliaji ulifanyika haraka na ndipo alikamatwa mtuhumiwa huyo.

Amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa Temeke kisuma Bar maarufu Kama Sugar Ray'' akiwa na bastola iliyotengenezwa Jamhuri ya CZECH yenye namba ya usajili A.368021.

Kamanda Sabas amesema jina la mtuhumiwa huyo limehifadhiwa na kwa sababu za kiupelelezi. 
  
Aidha  amesema watuhumiwa wengine wamekamatwa maeneo ya Kariakoo akiwewemi Amin Kimaro( 55)mkazi wa Manzese na wenzake watatu.

Amefafanua sababu za kukamatwa kwa kosa la kughushi hundi za benki mbalimbali jijini na kuziweka hundi hizo katika akaunti ya benki ili kufanikiwa kuiba fedha walizokusudia.


Hivyo makala POLISI DAR WANASA WATUHUMIWA WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU

yaani makala yote POLISI DAR WANASA WATUHUMIWA WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POLISI DAR WANASA WATUHUMIWA WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/polisi-dar-wanasa-watuhumiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "POLISI DAR WANASA WATUHUMIWA WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU"

Post a Comment