MAYAGE KUAGWA NA KUZIKWA LEO ALHAMISI DESEMBA 28, 2017; NYUMBANI KWAKE MBWENI, ENEO LA MAPUTO, DAR ES SALAAM.

MAYAGE KUAGWA NA KUZIKWA LEO ALHAMISI DESEMBA 28, 2017; NYUMBANI KWAKE MBWENI, ENEO LA MAPUTO, DAR ES SALAAM. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAYAGE KUAGWA NA KUZIKWA LEO ALHAMISI DESEMBA 28, 2017; NYUMBANI KWAKE MBWENI, ENEO LA MAPUTO, DAR ES SALAAM., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAYAGE KUAGWA NA KUZIKWA LEO ALHAMISI DESEMBA 28, 2017; NYUMBANI KWAKE MBWENI, ENEO LA MAPUTO, DAR ES SALAAM.
kiungo : MAYAGE KUAGWA NA KUZIKWA LEO ALHAMISI DESEMBA 28, 2017; NYUMBANI KWAKE MBWENI, ENEO LA MAPUTO, DAR ES SALAAM.

soma pia


MAYAGE KUAGWA NA KUZIKWA LEO ALHAMISI DESEMBA 28, 2017; NYUMBANI KWAKE MBWENI, ENEO LA MAPUTO, DAR ES SALAAM.




Ramani ya msiba

Msiba uko nyumbani kwake Mbweni Kijijini, Dar es Salaam, eneo la Mbweni Maputo,siyo mbali na hospitali ya Mbweni Misheni.

Yaani ukiwa unatokea Mwenge unapanda daladala ziendazo Mbweni Kijijini, unashukia kituo cha Mbweni Misheni, kisha hatua chache mbele kuna njia inayokwenda kushoto ifuate barabara hiyo kwa kuongozwa na vibao vinavyoelekeza msiba ulipo mpaka utakapofika nyumbani kwa marehemu, ambaye ni maarufu kama Mzee Magazeti.

Njia nyingine ni kupanda mabasi ya Makumbusho-Bunju/Bagamoyo, shukia  kituo cha Mianzini Bunju.
Hapo chukua bodaboda kwa gharama ya kama 3000/= hadi mbele kidogo ya Mbweni Misheni Hospitali. Ukifika hapo kata kushoto na muelekeze huyo bodaboda afuate vibao vya kuelekeza msiba hadi nyumbani kwa marehemu.

Kwa wenye usafiri binafsi; unaweza kufika kwa njia mbili:

1.Ukitoka Mwenge nenda mpaka Petrol Station ya Lake Oil eneo la Bunju. Hapo kuna barabara ya lami kuelekea Mbweni. Ifuate hadi Mbweni Kijijini,utakapoikuta Hospitali ya Misheni Mbweni. Baada ya hapo kata kushoto.Fuata vibao vya msiba vitakufikisha. 

2.Ukitoka Mwenge nenda hadi njia panda Mbweni Jeshini, fuata njia ya daladala, yapite mageti ya Jeshi hadi Mbweni Kijijini.Endelea mbele hadi Mbweni Misheni Hospitali.Sogea mbele kidogo, halafu kata kushoto na anza kufuata maelekezo ya vibao vya msiba ambavyo vitakufikisha.

Usafiri kwa Wanahabari

Kwa mujibu kamati ya maandalizi kutakuwa na mabasi mawili ya UDA yatakayobeba wanahabari watakaokwenda kumuaga mwenzao.

Basi la kwanza litakuwa Idara ya Habari Maelezo,Mtaa wa Samora, kuanzia saa 1:30 asubuhi ambapo litaondoka saa 2:30 kuelekea msibani Mbweni.

Basi la pili litakuwa Mwenge,maeneo ya kituo cha mafuta cha BP, kuanzia saa mbili asubuhi ambapo litaondoka hapo saa 3 kuelekea msibani.

Poleni sana,

Imetolewa na Kamati ya Maandalizi
Desemba 27, 2017.

Kwa mawasiliano wapigie wanakamati ya Usafiri

Peter Mgongo 0715 765 454
Eric Antony 0755 755 551


Hivyo makala MAYAGE KUAGWA NA KUZIKWA LEO ALHAMISI DESEMBA 28, 2017; NYUMBANI KWAKE MBWENI, ENEO LA MAPUTO, DAR ES SALAAM.

yaani makala yote MAYAGE KUAGWA NA KUZIKWA LEO ALHAMISI DESEMBA 28, 2017; NYUMBANI KWAKE MBWENI, ENEO LA MAPUTO, DAR ES SALAAM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAYAGE KUAGWA NA KUZIKWA LEO ALHAMISI DESEMBA 28, 2017; NYUMBANI KWAKE MBWENI, ENEO LA MAPUTO, DAR ES SALAAM. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mayage-kuagwa-na-kuzikwa-leo-alhamisi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAYAGE KUAGWA NA KUZIKWA LEO ALHAMISI DESEMBA 28, 2017; NYUMBANI KWAKE MBWENI, ENEO LA MAPUTO, DAR ES SALAAM."

Post a Comment