BAADA YA UHALIFU KUKITHIRI JIMBO LA UKONGA DC MJEMA NA SACP MAMBO SASA WAFUNGUKA NA KUTOA AGIZO ZITO.

BAADA YA UHALIFU KUKITHIRI JIMBO LA UKONGA DC MJEMA NA SACP MAMBO SASA WAFUNGUKA NA KUTOA AGIZO ZITO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BAADA YA UHALIFU KUKITHIRI JIMBO LA UKONGA DC MJEMA NA SACP MAMBO SASA WAFUNGUKA NA KUTOA AGIZO ZITO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BAADA YA UHALIFU KUKITHIRI JIMBO LA UKONGA DC MJEMA NA SACP MAMBO SASA WAFUNGUKA NA KUTOA AGIZO ZITO.
kiungo : BAADA YA UHALIFU KUKITHIRI JIMBO LA UKONGA DC MJEMA NA SACP MAMBO SASA WAFUNGUKA NA KUTOA AGIZO ZITO.

soma pia


BAADA YA UHALIFU KUKITHIRI JIMBO LA UKONGA DC MJEMA NA SACP MAMBO SASA WAFUNGUKA NA KUTOA AGIZO ZITO.







Na John Luhende
 Mwamba wa habari
Wananchi wa jimbo la ukonga wametakiwa kuwataja wananchi wanajihusisha na shuguli za madawa ya kulevya ujambazi, uvunjaji wa kutumia nguvu, ubakaji katika jimbo hilo ili serikali iwachukulie hatua  kusimamia usalama wa Raia



Wito huo umetolewa Leo na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi Sophia Mjema alipokuwa akiongea na wananchi wa Chanika kufuatia kukidhiri kwa vitendo vya uvunjaji wa kutumia nguvu vilivyo ambatana na ubakaji, matumizi ya madawa za kulevya ambavyo DC mjema amesema nilazima vitendo hivyo vikomeshwe nawote watakao tajwa watashugulikiwa na endapo wasipotajwa serikali itatumia nguvu kiwatambua na kiwachukulia hatua

Takwimu za matukio ya uhalifu Zinaonyesha kuwa mwaka 2018 kuna matukio 990 huku ubakaji yakiwa 89 ambapo zajambazi walipora Mali kisha kubaka wana familia. Matukio ya wizi wa pikipiki 154 yameripotiwa kwa mwaka huj masuala ambayo DC Mjema amesema nilazima yatatuliwe haraka.



Kwa upande wake Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam SACP Lazaro Mambosasa ameomba kutengwa Kwa Wilaya ya kipolisi Chanika na Mbweni jijini humo kurahisisha shuguli za kiusalama na huduma Kwa wananchi wa maeneo hayo


Akizungumza katika kongamano la usalama katika jimbo la Ukonga Leo Dar es salaam, SACP amesema uhitaji wa Wilaya hizo za kipolisi nimuhimu kwani maeneo hayo yanauhitaji wa kuongezewa askari polisi hadi kufikia 100 lakini kutokana nakuwa hakuna Wilaya ya kipolisi hivyo ningumu kuongezewa askari hao jambo ambalo linapelekea shuguli za kiusalama kushindikana huku wananchi wakikosa huduma za kipolisi ngazi ya Wilaya na kulazimika kusafiri mwendo mrefu kutafutabhuduma hizo.


Aidha, SACP Mambosasa amewaagiza makamanda wote kusimamia kikamilifu vikundi vya ulinzi shirikishi katika maeneo yao kwani vikundi hivyo vinasaidia kupunguza upungufu wa askari polisi, huku akihimiza kero zote za kata zitatuliwe ngazi ya kata kuliko kuwaacha wananchi kuwa na kero nyingi


Hivyo makala BAADA YA UHALIFU KUKITHIRI JIMBO LA UKONGA DC MJEMA NA SACP MAMBO SASA WAFUNGUKA NA KUTOA AGIZO ZITO.

yaani makala yote BAADA YA UHALIFU KUKITHIRI JIMBO LA UKONGA DC MJEMA NA SACP MAMBO SASA WAFUNGUKA NA KUTOA AGIZO ZITO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BAADA YA UHALIFU KUKITHIRI JIMBO LA UKONGA DC MJEMA NA SACP MAMBO SASA WAFUNGUKA NA KUTOA AGIZO ZITO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/baada-ya-uhalifu-kukithiri-jimbo-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BAADA YA UHALIFU KUKITHIRI JIMBO LA UKONGA DC MJEMA NA SACP MAMBO SASA WAFUNGUKA NA KUTOA AGIZO ZITO."

Post a Comment