WAFANYABIASHARA WA DHAHABU MARA WAONDOKANA NA ADHA.

WAFANYABIASHARA WA DHAHABU MARA WAONDOKANA NA ADHA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAFANYABIASHARA WA DHAHABU MARA WAONDOKANA NA ADHA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAFANYABIASHARA WA DHAHABU MARA WAONDOKANA NA ADHA.
kiungo : WAFANYABIASHARA WA DHAHABU MARA WAONDOKANA NA ADHA.

soma pia


WAFANYABIASHARA WA DHAHABU MARA WAONDOKANA NA ADHA.

Na Frankius Cleophace, Musoma.

Wafanyabiashara wa Madini kutoka Migodi mbalimbali ya Dhahabu Mkoani Mara wameondokana na adha waliyokuwa wakiipata ya kusafirisha Mchanga wa dhahabu kwaajili ya kuchenjua Mkoani Mwanza kabla ya katazo la serikali baada ya kufunguliwa kwa kiwanda cha FRAMAL INVESTMENT LTD Manispaa ya Musoma mkoani Mara kwaajili ya uchenjuaji wa dhahabu.

Mmilikiwa kiwanda hicho FRANK MALIMA anasema awali alikuwa na kiwanda Mkoani Mwanza lakini baada ya Serikali kuzuia usafirishaji wa Mchanga wa Dhahabu kutoka Mkoa mmoja hadi mwingine ameamua kufungua kiwanda Mkoani Mara kwaajili ya kutoa huduma kwa wafanyabiashara wa Madini.

Frank amesema kuwa Mkoa wa Mara unazalisha sana Dhahabu hivyo ameamua kufungua kiwanda hicho kwa lengo la kutekeleza Serikali ya Viwanda ikiwa ni pamoja na kuwasaidia Wafanyabiashara hao.

Ameongeza kuwa Kwasasa kiwanda hicho kina uwezo wa kuchenjua tani 1.5 ya Dhahabu kwa saa 24 hatua ambayo Mmiliki huyo amesema bado kumeonaka kuwepo na upungufu wa Mashine hizo na hivyo kuwa katika harakati za kutengeneza Mashine zingine ambazo anaamini zitasaidia kukidhi Mahitaji.

Nao baadhi ya wafanyabiashara wa Madini wakatoa pongezi kwa Mmiliki wa kiwanda hicho na kusema kulikuwa na changamoto kubwa kabla ya kuwepo kwa kiwanda hicho.
Mitambo kwa ajili ya Uchenjuaji wa Dhahabu katika Kiwanda hicho kilichopo Mjini Musoma Mkoani Mara.
Mkurugenzi wa Kiwanda cha FRAMAL INVESTMENT LTD Frank Malima akionyesha baadhi ya Mitambo katika Kiwanda hicho
Gari la kampuni hiyo ambalo linafanya hughuli za Usafirishaji wa Mchanga huo.
Mkurugenzi wa Kiwanda hicho akiongea na Vyombo vya habari ofisini Kwake.


Hivyo makala WAFANYABIASHARA WA DHAHABU MARA WAONDOKANA NA ADHA.

yaani makala yote WAFANYABIASHARA WA DHAHABU MARA WAONDOKANA NA ADHA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYABIASHARA WA DHAHABU MARA WAONDOKANA NA ADHA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/wafanyabiashara-wa-dhahabu-mara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAFANYABIASHARA WA DHAHABU MARA WAONDOKANA NA ADHA."

Post a Comment