PROFESA JAY, NAPE WACHUANA, MLINGA AENDESHA KIGARI JUKWAANI

PROFESA JAY, NAPE WACHUANA, MLINGA AENDESHA KIGARI JUKWAANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PROFESA JAY, NAPE WACHUANA, MLINGA AENDESHA KIGARI JUKWAANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PROFESA JAY, NAPE WACHUANA, MLINGA AENDESHA KIGARI JUKWAANI
kiungo : PROFESA JAY, NAPE WACHUANA, MLINGA AENDESHA KIGARI JUKWAANI

soma pia


PROFESA JAY, NAPE WACHUANA, MLINGA AENDESHA KIGARI JUKWAANI

WABUNGE WAAMSHA SHANGWE UKUMBI WA MLIMANI CITY DAR
Na Said Mwishehe, Globu ya jamii 
BUNGE limesheheni vipaji katika fani ya Sanaa na burudani!Hivyo ndivyo unavoweza kuelezea baada ya wabunge kutoka majimbo mbalimbali kuonesha umahiri wao katika fani hiyo. 

Wabunge hao wamedhihirisha hili jana usiku kwenye ukumbi wa Mliman City jijini Dar es Salaam wakati wa harambee ya kuchangia fedha kwa ajili ya ujenzi wa choo cha mfano. 

Hivyo kabla ya kuanza kwa shughuli ya harambee hivyo, wabunge waliamua kuteka sekta ya Sanaa na burudani kwa kuonesha umahiri wao. 


Wapo wabunge ambao wameonesha umahiri katika mchezo wa sarakasi huku wengine wakishindana kucheza Singeli.


Pia wabunge wengine walishiriki kuimba nyimbo maalum kwa ajili ya harambee hiyo na wapo walioimba kwaya pamoja na kucheza nyimbo za kabila la Wanyamwezi. 


Hata hivyo baada ya burudani hiyo kupamba moto jukwaa likatawaliwa na ushindani mkali kati ya Mbunge wa Mtama Nape Nnauye na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule a.k.a Profesa Jay. 

Wakati Nape ameamua kuimba nyimbo za zamani(Zilipendwa) Profesa Jay yeye aliamua kuimba muziki wa kizazi kipya. 

Hata hivyo hakukuwa na mshindi kwani kila mmoja alionesha umahiri mkubwa wa kushika kipaza sauti na kuteka mashabiki ambao wengi wao walikuwa wabunge wenyewe pamoja na wageni waalikwa. 

Haikushia hapo kwani wabunge hao katika kuthibitisha hakuna ambacho hawakijui wapo ambao wao walionesha umahiri wa kulitawala jukwaa kwa kuonesha mitindo ya mavazi. 

Mbunge Geita Vicky Kamata na Mbunge Mathar Mlata wao walithibitisha ubora wa sauti zao walipokuwa wanongoza wabunge wengine kuimba. 

Naibu Spika Dk.Tulia Akson yeye alipanda jukwani kuimba wimbo wa Subalkere Mpenzi akiwa mtoto wake(Gudlucky Mlinga) aliyekuwa anaendesha kigari . 

Baadhi ya wageni waalikwa ambao wamezungumzia namna ambavyo wamebunge hao wameonesha umahiri katika eneo la burani wamesema wanastahili kupongzwa. 



kwani wamethibiwa Viti Maalum Mkoa wa Samua kutoa na kuchezea , kucutoa buruWABUNGE mbalimbali wameonesha.
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye akitumbuiza wabunge na wageni waalikwa wakati wa harambe ya kuchangia ujenzi wa choo cha mfano kitakachojengwa kwenye kila jimbo hapa nchini ambapo choo kimoja kitakuwa na matundu 10.


Mbunge wa Mikumi Joseph Haule a.k.a Profesa Jay 
akitumbuiza wabunge na wageni waalikwa wakati wa harambe ya kuchangia ujenzi wa choo cha mfano kitakachojengwa kwenye kila jimbo hapa nchini ambapo choo kimoja kitakuwa na matundu 10.


Naibu Spika Dk.Tulia Akso, Mbunge wa Kindondoni, Maulid Mtulia na Mbunge wa Ulanga anayeendesha kigari jukwaani, Goodluck Mlinga wakiwa  jukwani wakiimba wimbo wa Subalkere Mpenzi

wakati wa harambe ya kuchangia ujenzi wa choo cha mfano kitakachojengwa kwenye kila jimbo hapa nchini ambapo choo kimoja kitakuwa na matundu 10.


Wabunge wakionesha burudani.Mbunge akicheza Singeli jukwaani.
Wabunge wakipita jukwaani wakionesha mavazi ya mitindo mbalimbali.
Picha na Avila Kakingo, Globu ya jamii





Hivyo makala PROFESA JAY, NAPE WACHUANA, MLINGA AENDESHA KIGARI JUKWAANI

yaani makala yote PROFESA JAY, NAPE WACHUANA, MLINGA AENDESHA KIGARI JUKWAANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PROFESA JAY, NAPE WACHUANA, MLINGA AENDESHA KIGARI JUKWAANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/profesa-jay-nape-wachuana-mlinga.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "PROFESA JAY, NAPE WACHUANA, MLINGA AENDESHA KIGARI JUKWAANI"

Post a Comment