SERIKALI YAJIPANGA KUBHIBITI UCHELEWESHAJI WA KUPAKUA SHEHENA YA MAFUTA BANDARINI

SERIKALI YAJIPANGA KUBHIBITI UCHELEWESHAJI WA KUPAKUA SHEHENA YA MAFUTA BANDARINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAJIPANGA KUBHIBITI UCHELEWESHAJI WA KUPAKUA SHEHENA YA MAFUTA BANDARINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAJIPANGA KUBHIBITI UCHELEWESHAJI WA KUPAKUA SHEHENA YA MAFUTA BANDARINI
kiungo : SERIKALI YAJIPANGA KUBHIBITI UCHELEWESHAJI WA KUPAKUA SHEHENA YA MAFUTA BANDARINI

soma pia


SERIKALI YAJIPANGA KUBHIBITI UCHELEWESHAJI WA KUPAKUA SHEHENA YA MAFUTA BANDARINI

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwele, wa pili kushoto akiangalia moja ya nondo zilizoshushwa bandarini kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya bandari na kituo cha kushushia mafuta cha KOJ. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko.  
 Mkandarasi wa mradi wa upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam (DMGP) kutoka Kampuni ya China Habour Engineering, LV Wei, kushoto akitoa maelezo ya mradi huo ulipofikia kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwele, wa pili kulia na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya bandari na kituo cha kushushia mafuta cha KOJ.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwele, kushoto akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi Mkuu TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya bandari na kituo cha kushushia mafuta cha KOJ.

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amesema kwamba Serikali imejipanga kubhibiti ucheleweshaji wa kupakua shehena ya mafuta bandarini ili kubhibiti upandaji bei ya bidhaa hiyo kwenye soko la ndani.

Waziri Kamwelwe ameyasema hayo jijini Dar es Salaam, wakati alipotembelea bandari ya Dar es Salaam katika eneo la Kurasini Oil Jet (KOJ), na kubaini kuwa wakati wa zoezi la upakuaji kunakuwa na tatizo la ucheleweshaji mbalo mwisho wa siku huchangia kuongezeka bei ya mafuta. 

Mh. Kamwele amesema kwamba wamegundua kuwa uwezo mdogo wa pampu za meli za kupakulia mafuta pamoja na uhaba wa matenki ya kuhifadhia mafuta kwa waagizaji wa bidhaa hiyo pamoja na kuvuja kwa mabomba ya mafuta ndio chanzo kikubwa cha kupanda bei.  

“Tumegundua kuwa tatizo lingine linalochangia kuongeza bei ya mafuta kuwa ni ucheleweshaji wa kupakua shehena hiyo ya mafuta kwani baadhi ya meli hazina pampu zenye wezo wa kusukuma bidhaa hiyo kwa nguvu inayotakiwa,” amesema waziri Kamwele.


Hivyo makala SERIKALI YAJIPANGA KUBHIBITI UCHELEWESHAJI WA KUPAKUA SHEHENA YA MAFUTA BANDARINI

yaani makala yote SERIKALI YAJIPANGA KUBHIBITI UCHELEWESHAJI WA KUPAKUA SHEHENA YA MAFUTA BANDARINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAJIPANGA KUBHIBITI UCHELEWESHAJI WA KUPAKUA SHEHENA YA MAFUTA BANDARINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/serikali-yajipanga-kubhibiti.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI YAJIPANGA KUBHIBITI UCHELEWESHAJI WA KUPAKUA SHEHENA YA MAFUTA BANDARINI"

Post a Comment