Tanzania Yang’ara Mifumo Ya TEHAMA Inayolenga Kuleta Ustawi wa Wananchi Vijijini

Tanzania Yang’ara Mifumo Ya TEHAMA Inayolenga Kuleta Ustawi wa Wananchi Vijijini - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tanzania Yang’ara Mifumo Ya TEHAMA Inayolenga Kuleta Ustawi wa Wananchi Vijijini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tanzania Yang’ara Mifumo Ya TEHAMA Inayolenga Kuleta Ustawi wa Wananchi Vijijini
kiungo : Tanzania Yang’ara Mifumo Ya TEHAMA Inayolenga Kuleta Ustawi wa Wananchi Vijijini

soma pia


Tanzania Yang’ara Mifumo Ya TEHAMA Inayolenga Kuleta Ustawi wa Wananchi Vijijini

Frank Mvungi- MAELEZO, Mbeya
Tanzania imetajwa kuwa nchi iliyofanikiwa kuwa na mifumo bora ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) inayolenga kuchochea ustawi wa maisha ya wananchi hasa wanaoishi katika maeneo ya vijijini.
Akizungumza katika mahojiano maalum yaliyofanyika Jijini Mbeya leo, Mkuu wa Timu ya Mifumo ya Mawasiliano wa Mradi wa Kuimarisha Mifumo ya Sekta za Umma  (PS3) Bw. Desderi Wengaa, amesema kuwa hivi sasa Tanzania ni nchi ya kupigiwa mfano kwa kuwa na mifumo bora na inayoongea, hali inayosaidia kuimarisha huduma kwa wananchi hasa wanyonge. 
PS3 ni mradi unaofadhiliwa na Serikali ya Marekani kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID).  Mradi huu wa miaka mitano unatekelezwa katika mikoa 13 ya Tanzania bara.
“Mifumo hii inalenga kuwawezesha watoa huduma katika ngazi ya vituo vyao kama Zahanati, Shule na Vituo vya Afya kutoa huduma kulingana na mahitaji ya wananchi na vipaumbele vya Serikali ambavyo kimsingi vinalenga kuwaletea wananchi maendeleo endelevu,” alisisitiza Wengaa.
Akifanua, Bw.Wengaa amesema kuwa mfumo kama wa Epicor 10.2 utasaidia Serikali kujua mapato na matumizi ya fedha za umma katika sekta za kipaumbele kama Afya na Elimu, ikiwa ni dhamira ya Serikali kuhakikisha kuwa rasilimali zote, ikiwemo fedha zinatumika kuboresha maisha ya wananchi.
Ameongeza kuwa kwa kutumia mifumo hiyo, thamani halisi ya fedha zitakazotumika katika miradi ya maendeleo itaonekana na pia itaongeza muda wa kuwahudumia wananchi katika vituo vya kutolea huduma, kwakuwa muda utakaotumika kwa kila anayehitaji huduma kuwa mchache.
Mkuu wa Timu ya Mifumo ya Mawasiliano wa Mradi wa Kuimarisha Mifumo ya Sekta za Umma  (PS3) Bw. Desderi Wengaa akisisitiza kuhusu umuhimu wa mifumo hiyo katika kuwaletea wananchi maendeleo, wakati wa mahojiano maalum leo Jijini Mbeya.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Tanzania Yang’ara Mifumo Ya TEHAMA Inayolenga Kuleta Ustawi wa Wananchi Vijijini

yaani makala yote Tanzania Yang’ara Mifumo Ya TEHAMA Inayolenga Kuleta Ustawi wa Wananchi Vijijini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tanzania Yang’ara Mifumo Ya TEHAMA Inayolenga Kuleta Ustawi wa Wananchi Vijijini mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/tanzania-yangara-mifumo-ya-tehama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Tanzania Yang’ara Mifumo Ya TEHAMA Inayolenga Kuleta Ustawi wa Wananchi Vijijini"

Post a Comment