ALIKIBA ATOA TAMBO,ASEMA HAIHOFII TIMU YA SAMATA

ALIKIBA ATOA TAMBO,ASEMA HAIHOFII TIMU YA SAMATA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ALIKIBA ATOA TAMBO,ASEMA HAIHOFII TIMU YA SAMATA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ALIKIBA ATOA TAMBO,ASEMA HAIHOFII TIMU YA SAMATA
kiungo : ALIKIBA ATOA TAMBO,ASEMA HAIHOFII TIMU YA SAMATA

soma pia


ALIKIBA ATOA TAMBO,ASEMA HAIHOFII TIMU YA SAMATA

Na Agness Francis, Globu ya Jamii
ZIKIWA zimesalia siku 2 kuelekea mechi ya hisani kati ya msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya Ali Kiba na mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samata, majigambo na mbwembwe zimeshika hatamu.

Mechi hiyo ni kwa ajili ya kuchangisha fedha ili kusaidia kuboresha miundombinu ya mashuleni na kwa kuanzia wataanza na shule walizosoma wao.Alikiba akiwa amesoma shule ya msingi Upanga na Samata akiwa amesoma shule ya msingi Mbagala Rangi Tatu.

Anazungumza leo kijini Dar es salaam,Alikiba amesema  haogopeshwi na timu ya Samata kwani ni ya kawaida na iwapo yeye atataja kikosi chake basi hawataamini masikio yao.

Kiba amesema   muda wowote atataja kikosi chake  ambapo amesema alitaman baadhi ya  wachezaji wa SimbaSC  wangekuwepo pia katika kikosi chake   ambao kwa sasa wapo nchini Kenya kwa ajili ya mashindano ya Sport pesa.

"Utakuwa ni mchezo wa kiufundi zaidi kwani wachezaji watakaocheza siku hiyo ni  wenye viwango" amesema Kiba.Hata hivyo Muwakilishi wa Kampuni ya Asas  Fahad Ali  amesema kuwa kujumuika pamoja kupitia mpango huo wa mechi hiyo ni kuzidi kutoa mchango wa elimu kwa wanafunzi.

Pia imeelezwa kuwa ili kufanikisha zaidi mchango wanaoukusudia kuupata  watanzania wafike kwa wingi siku hiyo kushuhudia burudani hiyo.Mtanange huo utakaochezwa Juni 9 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa jijini na utakaoanza  saa 10 jioni kwa kiingilio cha She. 2000 kwa V.I.P na 1000 kwa viti vya kawaida.
 Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba akizungumza na vyombo vya habari leo katika ukumbi wa viwanja vya taifa Jijini Dar es Salaam kuhusu mchezo utakaochezwa  kwa ajili ya kuchangia maendeleo ya elimu kwa wanafunzi.
Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba (katikati)  na Uhuru  Selemani (kulia) wakiwa wameshikilia jezi waliokabidhiwa na uwongozi wa kampuni ya Asas leo katika ukumbi wa viwanja vya taifa Jijini Dar es Salaam.
Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba akiwa anaenda kuangalia uwanja  wa taifa leo Jijini Dar es Salaam utakotumika kuchezea mtanange huo siku ya Jumamosi Juni 9 mwaka huu


Hivyo makala ALIKIBA ATOA TAMBO,ASEMA HAIHOFII TIMU YA SAMATA

yaani makala yote ALIKIBA ATOA TAMBO,ASEMA HAIHOFII TIMU YA SAMATA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ALIKIBA ATOA TAMBO,ASEMA HAIHOFII TIMU YA SAMATA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/alikiba-atoa-tamboasema-haihofii-timu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ALIKIBA ATOA TAMBO,ASEMA HAIHOFII TIMU YA SAMATA"

Post a Comment