WATEJA WA TIGO SASA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA MFUMO WA KIELETRONIKI WA MALIPO SERIKALINI (GePG)

WATEJA WA TIGO SASA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA MFUMO WA KIELETRONIKI WA MALIPO SERIKALINI (GePG) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATEJA WA TIGO SASA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA MFUMO WA KIELETRONIKI WA MALIPO SERIKALINI (GePG), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATEJA WA TIGO SASA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA MFUMO WA KIELETRONIKI WA MALIPO SERIKALINI (GePG)
kiungo : WATEJA WA TIGO SASA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA MFUMO WA KIELETRONIKI WA MALIPO SERIKALINI (GePG)

soma pia


WATEJA WA TIGO SASA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA MFUMO WA KIELETRONIKI WA MALIPO SERIKALINI (GePG)

Fanya malipo ya haraka, urahisi na kwa usalama zaidi kwa zaidi ya idara 300 za serikali, mawakala na mamlaka za udhibiti kwa Tigo Pesa 

Wateja wa Kampuni ya Tigo, sasa wanaweza kufanya malipo kutumia mfumo wa Kielektroniki wa Malipo Serikalini (GePG) baada ya kampuni hiyo kuongeza malipo ya Serikalini kwenye App yake ya Tigo Pesa. 

Akiongea katika uzinduzi wa GePG kwa mtandao wa Tigo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, Bernard Mabagala Afisa Mwandamizi wa TEHAMA – Wizara ya Fedha na Mipango alisema kuwa ubunifu na juhudi za Serikali katika kuanzisha mdumo huo wa Kieletronbiki wa Malipo Serikalini (GePG) umerahisisha upatikanaji wa ankara na kufanya malipo kwa wananchi. Pia imeleta faida nyinginezo ikiwemo kuboresha uwekaji wa kumbukumbu, utoaji wa taarifa, kupunguza uvuvaji na ubadhirifu pamoja na kuongeza mapato kwa idara mbali mbali za Serikali. na 

Kupitia mfumo wa GePG Serikali pia imeongeza wigo wa upatikanaji wa huduma kwa wananchi na kuongeza fursa za biashara kwa kampuni zinazotoa huduma za malipo kama Tigo. Wananchi wanaweza kupokea ankara zao moja kwa moja kutoka ofisi na mashirika ya Serikali au kwa njia mbali mbali za kimtandao, na kufanya malipo ya ankara kwa urahisi na mahali popote kwa njia ya simu za kiganjani, benki au kwa njia ya mtandao. 

“Kufanya kazi kwa karibu na Serikali ili kufikisha huduma za kifedha kwa wananchi wengi ni moja kati ya malengo na mkakati wetu,” alisema Hussein Sayed, Mkuu wa Kitengo cha Huduma za kifedha wa Tigo. 

Mkuu wa Huduma za Biashara na Serikali wa Tigo, Ally Maswanya (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mfumo wa Malipo ya Kieletroniki Serikalini (GePG) ambao utawezesha wananchi kulipia ankara mbali mbali za kiserikali kwa urahisi na moja kwa moja kwa njia ya simu za mkononi kupitia huduma ya Tigo Pesa. Pamoja naye ni Afisa Mwandamizi wa TEHAMA katika Wizara ya Fedha na Mipango, Bernard Mabagala (kushoto) na Mkuu wa Huduma za Tigo Pesa, Hussein Sayed (kati).
Afisa Mwandamizi wa TEHAMA katika Wizara ya Fedha na Mipango, Bernard Mabagala (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Mfumo wa Malipo ya Kieletroniki Serikalini (GePG) unaowezesha wananchi kulipia ankara mbali mbali SerikaliNI kwa urahisi na moja kwa moja kwa njia ya simu za mkononi kupitia huduma ya Tigo Pesa. Pamoja naye ni Mkuu wa Huduma za Tigo Pesa, Hussein Sayed (kati) na Mkuu wa Huduma za Biashara na Serikali wa Tigo, Ally Maswanya (kulia).
Baadhi ya wafanyakazi kutoka kampuni ya Tigo na Serikali wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya uzinduzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa Malipo Serikalini (GePG) uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.




Hivyo makala WATEJA WA TIGO SASA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA MFUMO WA KIELETRONIKI WA MALIPO SERIKALINI (GePG)

yaani makala yote WATEJA WA TIGO SASA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA MFUMO WA KIELETRONIKI WA MALIPO SERIKALINI (GePG) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATEJA WA TIGO SASA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA MFUMO WA KIELETRONIKI WA MALIPO SERIKALINI (GePG) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/wateja-wa-tigo-sasa-kufanya-malipo-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WATEJA WA TIGO SASA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA MFUMO WA KIELETRONIKI WA MALIPO SERIKALINI (GePG)"

Post a Comment