title : TANZIA
kiungo : TANZIA
TANZIA
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio anasikitika kutangaza kifo cha Mjumbe wa Bodi ya PPF Bwana Nassor Baraza kilichotokea jana tarehe 14/08/2017 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Jijini Dar es salaam.
Msiba upo nyumbani kwa Marehemu, Mikocheni Regent Estate Namba 25 karibu na shule ya Sunrise au nyuma ya jengo la GEPF. Mazishi yanafanyika leo tarehe 15/08/2017 katika makaburi ya Kisutu saa kumi jioni.
Innah Lillah Wainnailaih Rajiun
Hivyo makala TANZIA
yaani makala yote TANZIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/tanzia.html
0 Response to "TANZIA"
Post a Comment