RC MAKONDA AANZA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS MAGUFULI.

RC MAKONDA AANZA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS MAGUFULI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA AANZA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS MAGUFULI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA AANZA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS MAGUFULI.
kiungo : RC MAKONDA AANZA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS MAGUFULI.

soma pia


RC MAKONDA AANZA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS MAGUFULI.



Mwambawahabari
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Mhe. Paul Makonda  ameanza kufanyia kazi agizo la Rais Dr. John Magufuli  la kufuatilia taratibu za ujenzi wa  Barabara  ya kutokea Makao Makuu ya  BAKWATA hadi Biafra  na tatizo la  mfumo wa maji  kwenye eneo la Kinondoni Shamba.

Mapema leo RC Makonda  amefanya  ziara  ya ukaguzi na kubaini nyumba nyingi kwenye eneo hilo zimejengwa kwenye hifadhi ya barabara na baadhi ya watu tayari wamelipwa fidia ambapo amewataka wananchi  kushirikiana na TARURA kuhakikisha  ujenzi wa barabara unaanza Mara moja.

Aidha  RC Makonda ameagiza TANESCO, DAWASCO na TTCL  kushirikiana kwa karibu na  TARURA  kuondoa miundombinu yao ili  kasi ya ujenzi  uanze.

Kwa upande wake Meneja wa TARURA Kinondoni Bwana  Leopold Runji  amesema tayari wameanza  utekelezaji  wa maagizo  waliyopatiwa na watahakikisha  ujenzi unaenda kwa kasi na kukamilika kwa wakati.

Itakumbukwa siku ya Jana June 12  Rais Dr. John Magufuli alifanya ziara ya kukagua maendeleo ya  ujenzi wa Msikiti  na maendeleo ya  ujenzi wa Makao Makuu ya BAKWATA  ambapo wakati wa kuondoka alipata  was a hard  wa kuzungumza na  Wananchi  ambao waliwasilisha kwake ombi la  ujenzi wa Barabara.


Hivyo makala RC MAKONDA AANZA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS MAGUFULI.

yaani makala yote RC MAKONDA AANZA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS MAGUFULI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA AANZA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS MAGUFULI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/rc-makonda-aanza-utekelezaji-wa-agizo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RC MAKONDA AANZA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS MAGUFULI."

Post a Comment